M Michewen JF-Expert Member Jun 27, 2012 24,537 32,144 Sep 1, 2021 #1 Mambo ya Pre-election Debate yameanza kitambo kumbe. Mi nikajua yalianza 2020 wakati wa Uchaguzi pendwa. Nireteeni....
Mambo ya Pre-election Debate yameanza kitambo kumbe. Mi nikajua yalianza 2020 wakati wa Uchaguzi pendwa. Nireteeni....
Dumas the terrible JF-Expert Member Jan 20, 2021 4,042 8,187 Sep 1, 2021 #2 Kwenye hiyo debate nani alikula za uso?