Mandela Road, Dar: Service Road yageuka parking. Watembea kwa miguu tunapata shida

Sijawahi kuelewa kabisa hawa ma engineer wetu wana tatizo gani, labda mnieleweshe nielewe : Hivi ni kwa nini hizo side drains (mifereji ya maji) inaachwa wazi hivyo?

Kwanza ni hatari gari na pikipiki kudumbukia humo, pili watu wanaigeuza madampo ya takataka. Kama ingefunikwa kwa slabs za zege tayari faida ingepatikana kwa watembea kwa miguu na baiskeli na pia kupishana..
Asante sana. Hili mimi ni jambo huwa linashangaza sana mpaka nimefikia hatua ya kukubali waafrika ni manyani. Mitaro ya namna hii ipo Dar nzima na mbaya zaidi barabara ni nyembamba sana na magari yanakwenda speed kiasi ambacho watembea kwa miguu wanakuwa na wakati mgumu mno.
 
Ndiyo maana serikali imeamua iwekeze kwenye miundombinu kwasasa, mf ukienda barabara ya sinza mpaka bamaga wee mwenyewe utafurahi
 
Magufuli kafariki kila mtu anafanya atakavyo..
Acheni mitizamo hasi hiyo!!ungekuwa unapafahamu sehemu hiyo miak yote hayo malori yanapaki hapo yakiwa yanasubilia kwenda kupakua/kupakia mizigo kwenye ICD'S zilizoko hapo!!mnavyomtukuza, ni kitu gani japo kimoja tu unaweza mpa sifa kuwa alikifanikisha kwa asilimia japo 80?!labda kwenye kubambika watu kesi!
 
Kwako hakuwa na jema lkn kwa wengine wanajua kushukuru lipo jema..
Mind your own life..
 
Sijawahi kuelewa kabisa hawa ma engineer wetu wana tatizo gani, labda mnieleweshe nielewe : Hivi ni kwa nini hizo side drains (mifereji ya maji) inaachwa wazi hivyo?

Kwanza ni hatari gari na pikipiki kudumbukia humo, pili watu wanaigeuza madampo ya takataka. Kama ingefunikwa kwa slabs za zege tayari faida ingepatikana kwa watembea kwa miguu na baiskeli na pia kupishana..
Unajua bajeti ambayo unakuta imetengwa ama uwezo wa nchi na kipaumbele chake.
Kiukweli kuongea ni cheap Sana so must affordable to everything even a hen can talk.

Unajua ufinyu wa hela yenu unavyopelekea kupata huduma kulingana na hela yako.
Haujui kila shule from primary inatakiwa uwe na computer lab na angalau kila dent awe na yake.
Unajua mwanafunzi anatakiwa awe anapata lunch shuleni lakini.
Unajua mwalimu anatakiwa apewe huduma zote i.e malazi mazuri akiwa shileni ama Askari wenu wanavyokaa kwa Kota chafu Sana na Tena za mbao.
Unajua ni kwa Nini gharama za kuingiza gari toka nje like tax ni kubwa Sana approximately sawa na Bei ya kununulia lakini
 
Na miaka yote hio nchi iko chini ya CCM na wameshindwa kuyafanya hayo.
 
Back
Top Bottom