Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

View attachment 125976 Julus Nyerere VS Nelson Mandela View attachment 125977

Sijaridhika bado na uzito wa Nelson Mandela ukilinganisha na baadhi ya viongozi wengine wambao wamefanya makubwa katika ukombozi wa bara la Afrika na baadhi ya mambo muhimu ulimwenguni. Jambo la pekee kwa Mandela ni kufungwa kwa miaka 26, na baada ya kufunguliwa makubaliano ya ANC ni kumpa nafasi ya kuongoza nchi ambapo alidumu kwa awamu moja na kuamua kuachia ngazi pengine sababu ya matatizo ya kiafya ndio alitaka upweke asibughudhiwe. Zaidi ya kupigania haki za Waafrika huku kusini hakuna tofauti na wapigania uhuru wengine katika bara hili.

Kwa kulinganisha na mmoja ambaye amekuwa katika vichwa vya waafrika wengi
Julius Nyerere naona kwa mtazamo wangu Nyerere yuko juu zaidi kwa juhudi kubwa alizofanya kupigania ukombozi wa bara la Afrika, kwani alijitolea bila hofu na hata umoja wa Afrika kuweka makao makuu ya ukombozi nchini Tanzania. Hata vyama vya wapigania ukombozi makao yao yalikuwa Tanzania, hali kadhalika ANC maskani yao yalikuwa Tanzania, karibu na mji kasoro bahari (Morogoro) ambako sasa ni chuo kikuu cha kilimo (Sokoine University).

Naweza kutafsiri kama mataifa ya magharibi yamefanya jitihada kubwa kumkuza zaidi kwa kile kinachoonekana kujaribu kufunika yale yaliyofanywa nao kipindi cha ubaguzi kwa vile walikuwa ni wazungu wenzao. Lakini kupima kwa vigezo halisi binafsi naona Nyerere yuko juu zaidi ya Mandela, na tena kuna wengine wengi tu wenye kustahili heshima zaidi yake hapa Afrika kuliko yeye. Mataifa ya magharibi yametuteka nasi tumefuata wayatakayo.

View attachment 126253
Katika picha hii licha ya huyo mhindi
yupo pia mzungu ambaye alikuwa
Waziri wa fedha kwa miaka mingi nchini Tanzania

The multi-racial first cabinet of newly independent Tanganyika. While this sort of thing was seen as strange in other newly independent African countries, for Nyerere this was a matter of course. People were appointed on merit, based on their ability and commitment to the cause. The issue of skin colour did not feature. Amir Jamal (far right, seated), the first of many Tanzanians of Asian origin to serve in Nyerere’s cabinet was a long-serving member, for many years holding the powerful portfolio of Finance Minister. He continued to hold high office beyond Nyerere’s own retirement, including a five year stint as Tanzania’s ambassador to the United Nations in Geneva from 1988 to 1993. His close working relationship with retired President Nyerere continued as he became his personal representative when Mwalimu Nyerere was Chairman of the South Commission and then on the South Centre, and the Dag Hammarskjold Foundation of Uppsala, Sweden. Amir Jamal was continually re-elected to Parliament by his Morogoro constituency with ever greater margins. This is despite the fact that members of his racial group comprised less than 1% of the population, testament to Mwalimu’s success in making his country a truly non-racial society. Mr Jamal died in March 1995 aged 74.
"Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno" Madiba was a man of charcter and principle, he walked the his talk.[FONT=Arial, Helvetica][FONT=arial, helvetica]
Mr Nyerere's views on African development were an unmitigated disaster and turned his country into a pauper for decades (and probably decades to come).
Rath Andor, USA
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica][FONT=arial, helvetica]Nyerere's 'African socialism' proved disastrous in the rural areas where his policy of "ujama", community-based farming collectives, met with resistance from farmers and led to a subsequent decline in production. [/FONT][/FONT][FONT=Arial, Helvetica][FONT=arial, helvetica]Nyerere was a false prophet who failed to think through the effects of his left-wing policies on ordinary people and that African socialism is a confused philosophy which should be confined to the dust bin of history. [/FONT][/FONT][FONT=Arial, Helvetica]He was neither a political messiah nor a false prophet because he was honest and intelligent, but not an achiever. He was only an idealist.[/FONT][FONT=Arial, Helvetica]If he preached his theories as a prophet, then he was a great liar. [/FONT]However, [FONT=Arial, Helvetica]he was just a realist who with good intentions tried to show that Africa can go on it's own way without blindly following western ideologies. Those who claim that he failed say so because they measure success with material development.RIP Nyerere, RIP Madiba [/FONT]:amen:
 
Acha historia ichukue mkondo wake.

Leo nilikuwa nasikiliza NPR wakiongelea mada inayofanana kidogo na maudhui ya thread yako. W2alikuwa wakijiuliza swali hilo hilo la Obama kupwea nafasi kubwa katika mazishi ya Mandela wakati Mandela huyo alikuwa kwenye watch list ya magaidi na serikali ya marekani hadi hivi majuzi tu. Waongeaji walitoa majibu mazuri sana kuhusiana na muundo wa dunia wakati wa cold war kiasi kuwa kila aliyekuwa kipigania haki za watu wake huku Afrika alikuwa branded communist na akawa anapigwa vita na nchi za magharibi zikiongozwa na marekani wakati urusi ikawa inaziba maombwe ya branding hiyo. Watu kama Nyerere, Kaunda, na Samora wanabakia katika ile list ya materroists wa wakati huo wakati Mandela aliishi vya kutosha kutolewa katika list hiyo. Walijiuliza tena kuwa pamoja na kuwa Rais wa South Afrika aliendelea kuwaenzi na kuwaheshimu wafadhili wake wakuu wa harakati za ukombozi kama vile Gadaffi na Fidel Castro ambao mpaka leo hawatambuliki kabisa na Marekani kama watafuta haki za biandamu wakati yeye mwenywe anaheshimika.

Mwisho wa yote ni kuwa nyakati za historia ndizo zinazoamua mambo haya.

Rejea update ya mada hapo juu, Rais Kikwete kwa namna fulani ameongelea kidiplomasia kile tunachokijadili hapa alivyoelezea Mandela pengine asingefungwa miaka 26 kama safari yake toka Tanzania kwenda Algeria asingepitia Afrika Kusini, wenzake akina Thabo Mbeki walisalimika kwa kutoingia tena mtegoni huko bondeni kwa makaburu.

Pamoja na siri nyingine alizotoa, hata hati za kusafiria tu walitumia za Kitanzania, tena siri ya Mandela aliishi kwa kujificha kwenye familia ya Swai hadi kusahau buti zake za msituni pale Dar.
Swali:
  • Kama Mandela hakuwa mwoga kwa nini aliishi kwa kujificha kwenye familia hiyo ya Swai badala ya kwenda walikokuwa wanaishi wenzake akina Mbeki huko Morogoro?

Sihitaji kuongea mengi maana Kikwete ametapika ukweli na kuuonyesha ulimwengu jinsi gani Tanzania imefanikishwa kwa kiwango kikubwa harakati za kupigania kutokomeza ubaguzi wa rangi huku kusini na kabisa Nyerere alivyokuwa karibu na kumjengea mazingira ya upiganaji Mandela na wenzake.

CC; MMTAZAMOTAZAMO, matembele, Hero,, NasDaz, kirumonjetaJp Omuga Sikonge
 
pia kukua kwa ict na muda nao umesaidia kukuza jina la mandela ukizingatia mwaka 1999 wakati mzee wetu anafariki watumiaji wa internet achilia mbali facebook, twitter na youtube hawakuwa wengi kivile
 
pia kukua kwa ict na muda nao umesaidia kukuza jina la mandela ukizingatia mwaka 1999 wakati mzee wetu anafariki watumiaji wa internet achilia mbali facebook, twitter na youtube hawakuwa wengi kivile

Uko sahihi, maana tulikuwa bado kiindi kile kwenye kizazi cha analojia tofauti na kizazi cha digital cha leo watu wanapotembea na kitu kidogo cell phone anapata kila kitu na kuiona dunia yote.
 
How does a zero sum game figure in this?

The thread is postulated in such a manner that the top honcho must be either Mandela or Nyerere, as if they competed for the same prize using the same benchmark at the same time, with the rules of the game inherently seeded with the mutual exclusivity DNA of "you win I lose, I lose you win" which does not permit two winners.

Without acknowledging that, it is possible for both Mandela and Nyerere to be winners in their own ways, hence a win win situation, unlike the above mentioned possible prospects of a zero sum game.

I also argued - echoing parts of a "New Republic" piece I posted here- that, equally, Mandela and Nyerere can be said to be losers in that they were not successful in cultivating sustainable leadership that could inspire and lead with a semblance of the gravitas they had.Kikwete and Zuma are not even shells of their respective founding president predecessors. Zuma's booing is testimony to that, and as for Kikwete, we are witnessing a legion of kerfluffles plaguing his leadership.

The notion that it must be Mandela or Nyerere is mistaken by the employment of kindergarten concepts in analyzing complex, time spanned (when Mandela became president Nyerere had already retired), unequitably diverse and noncongrously disparate questions of leadership, natural resources management, priorities et cetera, et cetera.

It is hard enough to compare two presidents of the same country who presided over different periods (say Mwinyi and Kikwete).

Comparing two presidents who presided over two different countries over a vastly differentiated timescale and political landscape, countries with different histories, economies, geo-political visibility, socio-economic challenges and a host of other relevant differences, is downright reverse crystal ball hyperbolic concoction beyond the pale of any meaningful common denominator dumbing down.

How could anyone reasonably compare Mandela, who was imprisoned for 27 years and later became a one term president, with Nyerere who ruled for 24 years? How do you go about establishing a just scale?

Even if we agree to remove all the complexities and really dumb it down - inevitably removing meaning- it's not like we have formulas akin to Chemistry's "quantitative analysis" to help us compare the two.
 
Kiranga.
I couldn't disagree with you more. Politics do eventually play out to be "zero sum game" after all. Nations agitate for indipendence and self determination and then work out to build and progress its economies and peoples. The style with which political leaders take to achieve it does determine who was better at it.

Be it Washington, Karl Marx, Mao Ze Dong, Mandela or Nyerere, they all had basically the very same tasks. It didn't matter where or when, these leaders had to achieve those "two" things. Namely freedom or indipendence, then nation building an progress.
Of course a good politician would play out, like in poker, a hand he was dealt with to win the game in a smart way.

It is fair to compare any two politicians. Unless you say either one them didn't fight for indipendence or became it's nations founding father, first head of state and commander in chief, then there would be is no basis for comparison. If you compare then logically, there is a possibility of a finding better individual and hence your argument is moot.

I don't take it away from Nyerere that he was an extremely smart individual. What bothers me is why did he eventually get it so wrong? He must have been very well intentioned to begin with, got us indipendence with a well defined agenda of fighting Ujinga, Umasikini na Maradhi. How I wish he had just stayed the course!

Revisit Ujamaa, stiffling of descent or even simple difference of opinion, nationalisation, destruction of roads, infrastructure, industries, economy and worst of all .... a totally broken down education system. You have not convinced me why there should be no basis for comparison. Bring out the facts.

In comparison, Mandela fought (literally) for his country, morphed out to a skillfull negotiator, an all inclusive wise leader who knew what to tamper with and what not....leaving power when he knew he has done and taken his nation as far as he could.

These, Kiranga, like physics or chemistry formulae, are quantifiable factors. One does not need to be a rocket scientist to see how well ahead Mandela was in comparison to our beloved Nyerere.

Nyerere had a glorious opportunity to make a real difference to this nation but blew it. Except for the CCM party cadres who slurped their malicious drivelling tongues all over him, he was otherwise a feared individual, mean and cruel to the bone.
Mandela had similar opportunity, capitalised on it and elevated himself to a worldly recognised iconic figure.

MAY GOD REST BOTH THEIR SOULS IN ETERNAL PEACE.
 
You have not answered my most basic question, how do you justly compare two leaders with such a difference in their histories, geo-political visibility, time spent at the helm (and therefore even time susceptible to leadership mistakes), access to natural resources et cetera, et cetera?

What benchmark are you going to use? And how can you ensure that it is a fair benchmark, given that Mandela spent more than a quarter of his life in prison, while Nyerere spent just under a third of his life as president?

If you want hyperbolic pyrotechnics punctuated by poisonous partisan purrs, of course you can concoct anything and compare the emergence of silicon based bipeds in the Kuiper belt to the inevitability of Hegelian dialectic's synthesis towards a social vortex of anarchy, or the tactics of the Peloponnesian war and artificial gravity on the Internation Space Station. Heck, professor Asimov once prank compared a strictly mathematical relationship between the books of the bible and the bodies of the solar system, and just when I had started to entertain a level of believability (this was in 1990, form one at Tambaza) he pulled the curtain and revealed he was just pulling my leg to show me that a clever enough mind could claim to establish a real pattern between anything, given enough info, but that does not mean the comparison is real, that is, that does not mean the substance of the comparison is comparable.

I could write a poem to compare our Nation Anthem to the color blue, the poetic aesthetics could all be there, down to witty rhymes, similes, metaphors and unmitigated prosodic metre. I could even draw from Miles Davis' notes on "Kinda Blue".

But that does not mean there is a real connection between our anthem and the color blue. Of course you can make believe that there is, and concoct a new link between music and color, just as we have "The Blues". But that does not mean that if you analyse the sound waves of the anthem they will correlate with a Doppler effect like blue shift in the visible light section of the electromagnetic waves spectrum!

The fact that you can concoct to compare incomparables, and even force a zero sum game, does not make the actual case (realistic connection) to be so.

This is where the soft sciences, in this case political science get the name "soft".

You can't have hard and fast rules, you have a lot of assumptions and ceteris paribus conditionalities to the extent that any honest comparison must be annexed with caveats, qualifications, explanations, ironing out of discrepancies et cetera et cetera to the extent that the comparison becomes meaningless.

I presented a case that both Mandela and Nyerere were failures, because they did not successfully cultivate a sustainable leadership.

Another can equally argue that this assesment is not fair, since there were a lot of factors out of their bounds, and true leadership is knowing to let go, and they bear no responsibility for what took place after their respective tenures. If they said their pieces and did their deeds, and still the machinery defaulted to bad leadership, they are not to blame.

We can see that both arguments can be argued to be correct, depending on some core assumptions.This is why some social science/ liberal arts professors approach some essay type questions with the mentality that "there are no right or wrong answers, only right and wrong arguments".

The notion that political leadership is a zero sum game is mistaken by the bias of economics, the more dismal end of micro-economics at that, for even in macro-economics it is quite possible to have a win win situation, as Kikwete is so fond of saying.

If economics with all it's charts and equations, can claim to realize a win-win situation, you can't realistically and honestly claim that the uncharted and even greener (quantitative analysis wise) political science is devoid of any ground for a win-win outcome.

Furthermore, as stated earlier, perspective is almost everything. To someone who is on the 44th floor, the one who is on the 20th floor is below, while to someone on the 17th floor, the same person on the 20th floor is "above". Before saying someone is below or above, you must say, below or above what? We are going back to the undefined benchmark.The question begs to be asked, what floor are you on? What perspective are you approaching this from? How fair is your judgement from that perspective? How fair is your benchmark given all the above given questions?

For someone whose yardstick is the liberation of a people, regardless of the timescale and other factors, both Mandela and Nyerere are accomplished. For someone whose yardstick is calibrated by the economy of time, Nyerere is clearly the winner since he achieved that goal far sooner.

But then again one could argue that Nyerere did not really accomplish that goal in a contested setting.That since Churchill lost the battle for the colonies beginning with India in 1948, since the colonies were deemed as a liability more than an asset in the wake of new ways to remote control economies by world market manipulations, since Tanganyika was a protectorate and not even a colony following Germany's loss in the largely European squabbles called World Wars, Nyerere's job was the proverbial "walk in the park". Independence was his for the asking, all he had to do was mobilise the people and demonstrate they were ready for self rule and full independence. Nyerere did not have a massive number of settlers who were fixated on gold and hundred of years of roots in Tanzania, including the history of the Boers Wars and no homeland to return to.

So even if one was to pick this one item, the liberation of a people, you can see that there is no way to juxtapose the comparison in a fairly just manner.

Unless you are fond of loose talk that is.
 
View attachment 125976 Julus Nyerere VS Nelson Mandela View attachment 125977

Sijaridhika bado na uzito wa Nelson Mandela ukilinganisha na baadhi ya viongozi wengine wambao wamefanya makubwa katika ukombozi wa bara la Afrika na baadhi ya mambo muhimu ulimwenguni. Jambo la pekee kwa Mandela ni kufungwa kwa miaka 26, na baada ya kufunguliwa makubaliano ya ANC ni kumpa nafasi ya kuongoza nchi ambapo alidumu kwa awamu moja na kuamua kuachia ngazi pengine sababu ya matatizo ya kiafya ndio alitaka upweke asibughudhiwe. Zaidi ya kupigania haki za Waafrika huku kusini hakuna tofauti na wapigania uhuru wengine katika bara hili.

Kwa kulinganisha na mmoja ambaye amekuwa katika vichwa vya waafrika wengi
Julius Nyerere naona kwa mtazamo wangu Nyerere yuko juu zaidi kwa juhudi kubwa alizofanya kupigania ukombozi wa bara la Afrika, kwani alijitolea bila hofu na hata umoja wa Afrika kuweka makao makuu ya ukombozi nchini Tanzania. Hata vyama vya wapigania ukombozi makao yao yalikuwa Tanzania, hali kadhalika ANC maskani yao yalikuwa Tanzania, karibu na mji kasoro bahari (Morogoro) ambako sasa ni chuo kikuu cha kilimo (Sokoine University).

Naweza kutafsiri kama mataifa ya magharibi yamefanya jitihada kubwa kumkuza zaidi kwa kile kinachoonekana kujaribu kufunika yale yaliyofanywa nao kipindi cha ubaguzi kwa vile walikuwa ni wazungu wenzao. Lakini kupima kwa vigezo halisi binafsi naona Nyerere yuko juu zaidi ya Mandela, na tena kuna wengine wengi tu wenye kustahili heshima zaidi yake hapa Afrika kuliko yeye. Mataifa ya magharibi yametuteka nasi tumefuata wayatakayo.

View attachment 126253
Katika picha hii licha ya huyo mhindi
yupo pia mzungu ambaye alikuwa
Waziri wa fedha kwa miaka mingi nchini Tanzania

The multi-racial first cabinet of newly independent Tanganyika. While this sort of thing was seen as strange in other newly independent African countries, for Nyerere this was a matter of course. People were appointed on merit, based on their ability and commitment to the cause. The issue of skin colour did not feature. Amir Jamal (far right, seated), the first of many Tanzanians of Asian origin to serve in Nyerere’s cabinet was a long-serving member, for many years holding the powerful portfolio of Finance Minister. He continued to hold high office beyond Nyerere’s own retirement, including a five year stint as Tanzania’s ambassador to the United Nations in Geneva from 1988 to 1993. His close working relationship with retired President Nyerere continued as he became his personal representative when Mwalimu Nyerere was Chairman of the South Commission and then on the South Centre, and the Dag Hammarskjold Foundation of Uppsala, Sweden. Amir Jamal was continually re-elected to Parliament by his Morogoro constituency with ever greater margins. This is despite the fact that members of his racial group comprised less than 1% of the population, testament to Mwalimu’s success in making his country a truly non-racial society. Mr Jamal died in March 1995 aged 74.

Update
Rais Kikwete afichua siri kuhusu Mandela

Rais Jakaya Kikwete jana aliyateka mazishi ya Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, alipotoa salamu mbele ya maelfu ya waombolezaji na wageni wa kimataifa walioshiriki katika mazishi hayo. Rais Kikwete aliweka bayana jinsi Tanzania ilivyoshiriki katika vita ya ukombozi si kwa Afrika Kusini pekee bali kwa nchi nyingi za Kusini mwa Afrika zikiwamo Angola, Msumbiji, Zimbabwe na Namibia.

Kadhalika alizungumzia jinsi wapigania uhuru wa ANC walivyoweka kambi zao na kufungua ofisi za chama hicho nchini Tanzania ambako walipewa makazi na vifaa, maelezo ambayo yalishangiliwa na umati wa watu uliohudhuria. “Kwa hakika ANC walipata makazi mapya Tanzania ambayo waliyatumia kuendesha mambo yao, kujipanga na kuendeleza vita ya ukombozi. Kutoka Tanzania ANC waliweza kuwafikia makada wake na wanachama waliobaki Afrika Kusini kwa kutumia mawasiliano ya siri,” alisema Kikwete na kuongeza: “Kimsingi Serikali ya Tanzania ililazimika kuanzisha redio maalumu kwa ajili ya vita ya ukombozi ambayo ANC waliitumia kupaza sauti ambazo walikuwa wamenyimwa na utawala wa ubaguzi wa rangi.”

Rais Kikwete aliyekuwa na kazi ya kumwelezea Mandela kama mpigania uhuru, alieleza jinsi Mandela alivyofika Tanzania Januari 1962 bila kuwa na hati ya kusafiria na kwamba katika mazungumzo yake na Hayati Mwalimu Nyerere alieleza mpango wa kudai uhuru kwa njia ya mapambano. “Mwalimu Nyerere alikuwa na maoni tofauti kuhusu mpango wa kuendesha mapambano kwa kutumia silaha, lakini baadaye walikubaliana na Tanzania ilikubali kuanzishwa kwa kundi hilo na mwalimu (Nyerere) aliwapa sehemu ya kuendeshea shughuli zao na vifaa,” alisema Kikwete na kuongeza: “Kwa hiyo, kwa wale walioshiriki katika vita vya ukombozi na askari wa MK (Jeshi la ANC), majina kama Kongwa, Mgagao, Mazimbu na Dakawa hayawezi kuwa mageni na pengine mtakumbuka enzi zile maisha yalivyokuwa.”

Kikwete alisema wakati akiwa Tanzania, Mandela alikuwa akiishi kwa aliyekuwa Kada wa TANU, Marehemu Nsilo Swai na kwamba baada ya kusaidiwa kupata nyaraka za kusafiria kwenda Nigeria, Morocco na Ethiopia, aliacha buti zake nyumbani kwa mzee huyo. “Familia hii iliendelea kutunza buti hizo wakitaraji kwamba Mandela atarudi, lakini wakati anatoka katika safari yake hakupita tena Tanzania na kwa bahati mbaya alipofika Afrika Kusini alikamatwa na kufungwa,” alisema Kikwete katika hotuba iliyorushwa na vituo vyote vya televisheni vya kimataifa.

Aliongeza: “1995 ikiwa mwaka mmoja tangu Mzee Mandela aingie madarakani, viatu vile vililetwa na mjane wa marehemu Swai, Vicky Nsilo Swai ambaye nimekuja naye leo ili ashirikiane nanyi katika msiba huu ninyi mlio ndugu zake.” Alisema vita ya ukombozi haikuwa rahisi kwani wakati mwingine Tanzania mbali na kuwasaidia wapigania uhuru hati za kusafiria, ililazimika pia kuwapa majina ya bandia ili waweze kutekeleza majukumu yao vizuri.

Alimtania Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki akimuuliza iwapo alirejesha hati yake ya kusafiria na kusababisha waombolezaji kuangua kicheko. “Sifahamu kama Thabo amerejesha ya kwake,” alisema. Alisema kwa kuzingatia mazingira hayo, uhusiano baina ya Tanzani na Afrika Kusini si wa bahati mbaya kwani umejengwa katika mizizi ambayo ilistawishwa na Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Mandela. “Huzuni yenu, ni huzuni yetu na majonzi yenu ni majonzi yetu pia maana kama alivyo kwenu Mandela kwetu alikuwa kiongozi, baba na mfano wa kuigwa,” alisema Rais Kikwete huku akimtambulisha Mama Maria Nyerere katika ibada hiyo.
Alisema baada ya kutoka gerezani, Mandela alifika Tanzania ambako alipokewa na umati mkubwa wa watu katika rekodi ambayo haijawahi kuvunjwa na ujio wa kiongozi mwingine yoyote. Katika hatua nyingine, Rais mstaafu wa Zambia, Kenneth Kaunda jana aliuchekesha umati wa waombolezaji pale alipokwenda kwa kukimbia wakati alipoitwa jukwaani kwa ajili ya kutoa shukrani.

Kaunda pia alisababisha watu kuangua kicheko pale alipomwita Kikwete kuwa “bwana mdogo” wakati alipokuwa akianza mazungumzo yake. “Waheshimiwa marais, akiwamo huyo bwana mdogo kutoka Tanzania……,” alisema Kaunda.

Sifa ni zilezile tofauti ni teknolojia ya sasa ambayo imeruhusu Mandela kuwa juu. pili Mandela kutoka kuwa Jasusi, ANGALIA sura yake wakati anafungwa na kujulikana ni mwema kuliko maelezo baada ya kifungo, nahisi Mandela alijifunza kitu akiwa jela. I am just saying.
 
Back
Top Bottom