Mandela Funeral: Live updates

Mazishi ya hayati nelson mandela yapo live star tv kwa ushirikiano na sabc news!

===============================================
===============================================

UPDATES:

Viongozi mbalimbali wa south africa wamehutubia kwa kutumia lugha zao za asili, na hata MC mwenyewe anatumia lugha ya asili mara nyingi iwezekanavyo. Hivyo wanaenzi lugha zao za asili.

SWALI MUHIMU SANA:

Je, rais wetu Jakaya Kikwete atatuwakilisha kwa kiswahili ama kiingereza?

Tusubiri tuone maana yupo kwenye list ya wazungumzaji leo.

=================================================
=================================================

UPDATES:

Rais J.K ametoa speech kwa kiingereza. Kaweka na maneno kidogo ya kizulu. Full stop.
Kuna haja ya kuweka kiingereza kwenye lugha ya kitaifa bila kuchelewa!
BADO KISWAHILI KINAKOSA JUKWAA KWENYE INTERNATIONAL COMMUNITY.
 
Kiongozi wa church ya mandela anaongea.......anaongea maneno ya kiroho sana! mkalimani yupo kazini!
 
je ni mazidshi ya Kifahari au ni kuudhihirishia ulimwengu umuhimu wa kiongozi huyu? Kijiji hiki kimepata neema labda ndio mwisho wa utamaduni wao na mwanzo wa kuingiliwa na umagharibi na maisha ya mambo leo.
 
Tuharishe zaidi

Mkuu, tuharishe ama tuhabarishe! hhahahahahahahahh!

Nimekuelewa mkuu! Kiongozi wa methodit church ndio anaongea sasa hv. Anaongea maneno ya kiroho sana...i wish ningekuwa fasta kuandika ningeweza kukuandikia!
 
Chairpreson wa ANC anaongea kikwao...i think ni kizulu(sina uhakika)

Kiongozi wa church amemaliza kuongea!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom