Mandela Awakutanisha Obama na Castro!

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Katika hali isiyo ya kawaida, Rais Barack Obama ambaye nchi yake bado imeng'ang'ania kuiwekea Cuba vikwazo kibao, leo wamesalimiana tena kwa kukumbatiana mbele ya hadhara ya dunia (kupitia luninga)! Nina hakika hili lisingewezekana wakati wa utawala wa George Bush! Hii ni dalili kwamba yawezekana kabisa iko siku, tena si nyingi, Marekani itaondoa vikwazo vyake dhidi ya Cuba vilivyodumu kwa miaka mingi tangu enzi za Fidel Castro (kakake Castro-Rais wa sasa).
 
Mugabe na mawaziri wakuu wastafu wa Uingereza pia wamekutana
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Rais Barack Obama ambaye nchi yake bado imeng'ang'ania kuiwekea Cuba vikwazo kibao, leo wamesalimiana tena kwa kukumbatiana mbele ya hadhara ya dunia (kupitia luninga)! Nina hakika hili lisingewezekana wakati wa utawala wa George Bush! Hii ni dalili kwamba yawezekana kabisa iko siku, tena si nyingi, Marekani itaondoa vikwazo vyake dhidi ya Cuba vilivyodumu kwa miaka mingi tangu enzi za Fidel Castro (kakake Castro-Rais wa sasa).

Sio FIDEL CASTRO ni RAUL CASTRO anayekwenda HALAFU UTAWALA wa OBAMA umeruhusu NDUGU kupata VISA na kutembeleana ilikuwa ni MWIKO waCUBA kutembeleana kati ya wa MIAMI na CUBA

Pia Kwenye FANI ya KILIMO wanashirikiana Sasa HIVI NGUZO ni WaCUBA wanaoishi MIAMI hawataki Uhusiano uwepo na CASTRO.s na Unajua FLORIDA state ni BIG US PRESIDENTAL VOTE DECIDER either Rais awe Republican or Democrat it decides the ELECTION

Kwahiyo Wengi hasa REPUBLICANS ambao ndio wanapata VOTE toka kwa wa SPANISH wa CUBA wanawasikiliza hao Wahamiaji wanaoishi MIAMI
 
Ni mara ya pili tokea mapinduzi ya Cuba kwa raisi wa Cuba na USA kukutana na kusalimia.

Mara ya kwanza ilikuwa Clinton na Castro mwaka 2000.
 
Sio FIDEL CASTRO ni RAUL CASTRO anayekwenda HALAFU UTAWALA wa OBAMA umeruhusu NDUGU kupata VISA na kutembeleana ilikuwa ni MWIKO waCUBA kutembeleana kati ya wa MIAMI na CUBA

Pia Kwenye FANI ya KILIMO wanashirikiana Sasa HIVI NGUZO ni WaCUBA wanaoishi MIAMI hawataki Uhusiano uwepo na CASTRO.s na Unajua FLORIDA state ni BIG US PRESIDENTAL VOTE DECIDER either Rais awe Republican or Democrat it decides the ELECTION

Kwahiyo Wengi hasa REPUBLICANS ambao ndio wanapata VOTE toka kwa wa SPANISH wa CUBA wanawasikiliza hao Wahamiaji wanaoishi MIAMI

Jamaa, kabla ya kusema "sio Fidel Castro ni Raul Castro" si ungesoma thread yangu hadi mwisho!???? Nakushukuru kwa mawazo yako lakini punguza uvivu wa kusoma mawazo ya wenzako!!
 
Leo nimejikuta na wachukia waSA na SA. Chifukwe na botswana wana thamani kuliko WaTz na Rais wetu, kweli?
 
Jamaa, kabla ya kusema "sio Fidel Castro ni Raul Castro" si ungesoma thread yangu hadi mwisho!???? Nakushukuru kwa mawazo yako lakini punguza uvivu wa kusoma mawazo ya wenzako!!

Madiba-13.png

OK THEY SHAKE HANDS... OBAMA vs YOUNG CASTRO
 
Hakika obama anaonyesha ujasili na demokrasia ya hali ya juu ipo siku watakaa meza moja ya mapatano.

Hapo ni msibani Mkuu. Hivi inawezekana kununiana hadi msibani kweli? Utakuwa mwendawazimu ukifanya hivyo tena mwendawazimu hasa! Misiba hukutanisha mahasimu na kwa kawaida ugomvi huwekwa pembeni angalau kwa muda.
 
leo nimejikuta na wachukia wasa na sa. Chifukwe na botswana wana thamani kuliko watz na rais wetu, kweli?

tatizo la urafiki wa upande mmoja bila ya kumbukumbu ya yaliyopita. Huenda nchini mwao wanatofautiana juu ya role ya tz ktk ukombozi wa sa
 
Mkuu ktk ileinayo itwa BRICS nadhani Russia ndio hawakuongea na sina hakika kama kuna kiongozi wao mkuu alikuwepo pale.

Imenisikitisha hasa nikikumbuka jinsi jana mh alivyo tumia muda wa maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika kumkumbuka na kumuenzi Mandela kumbe Zuma na wenzake wanafikiria otherwise.
 
Back
Top Bottom