Mandela 'Aliipaisha' CCM!

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
195
Katika moja ya mahojiano na BBC enzi za uhai wake baada ya kustaafu Urais mwaka 1999, Mzee Nelson Mandela alikisifia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimekuwepo madarakani kwa miongo minne kwa kuwa kimekuwa kikichaguliwa kwa ridhaa ya wananchi wa Tanzania kuwaongoza. Alikuwa akielezea masuala ya vyama vya ukombozi kikiwemo ANC lakini akatoa changamoto kuwa vyama hivyo havitakiwi kujisahau kuwajali wananchi. Pia 'alimfagilia' sana Rais aliyemwachia madaraka Thabo Mbeki kuwa: "No other Prime minister or president in this country (South Africa) who has done better (in leadership) than Thabo Mbeki"! Nawasilisha!

Source: BBC World News
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom