Huyo nadhani atafikia treatment room si unajua alivyo prone to injuries? is good on his days lakini kuumia mara kwa mara ni tatizo....! Anderson si mumemtupia virago?

Hujaona interview ya Anderson? Amesema he is staying and will fight for his position. Hapo Old Trafford tuna injury prone players mpaka noma.
 
Mwanasoka E

Ya Anderson sijaiona si unajua tena nashinda website ya zeblues (Chelski)...kwa kweli mnamajeruhi wengi mno...Scholes, Nani, Rio, Van der sa, Neville etc etc Kuna Owen anapenda sana kucheza treating room kuliko kwenye pitch kama ikiwa kweli mnaongeza mgonjwa mwingine Robben....itabidi mfungue hospitali kabisa!
 
Haya Red Devilians wenzangu ndio hivyo safari yetu ya Madrid ndio inaanza wiki tatu zijazo.
Group B: Manchester United, CSKA Moscow, Besiktas, Wolfsburg.
 
Da mkuu nashukuru sana maana leo nilibanwa nimeshindwa hata kufuatilia makundi yanakwendaje
 
Huyo nadhani atafikia treatment room si unajua alivyo prone to injuries? is good on his days lakini kuumia mara kwa mara ni tatizo....! Anderson si mumemtupia virago?

Madrid (Robben) wamempachika jina la "Glassman", unajua glass ilivyo fragile,.. ha ha haaa...

Babu SAF ameamua kumchezesha RIO jumamosi hata kama ni majeruhi...
patamu sana hapo!
 
Robben kayeyukia Ujerumani!
 
Robben anakwenda Bayern na jumamosi anaweza kucheza, jamaa wametuzidi dau tulitaka kutoa nusu ya hela waliyomnunulia.
 
Mambo yakiwa poa Arjen Robben anaweza kutua Old Trafford weekend hii, Man U wanataka kutoa Milioni 11 lakini Madrid wanataka angalau milioni 15.

Anderson haendi kokote.
Huyo Roben mzushi ilikuwa aje MAN U kabla hajaenda Chelsea ,Mzee wa fitna Kenyon akampeleka Chelsea now kachoka ndio anataka kuja MANU hatumtaki
 
mwenzako leo ndio anatia sign bayern munich huko.vizuri sana hajaja kwenu manake robben msumbufu sana na mpira wake wa anao anao hule.
 
rooern-412.jpg
 
It was really a hard game for us MAN U. But aisee bila own goal la Arsenal sioni kama tungeshinda leo na pia bado sijaelewa substitution strategies and plans za Sir Alex manake inaonekana anasubiria mpaka dk za mwishoo kabisa ndio anaweka wachezaji ambao wangeweza kubadilisha matokeo mapema...!

Safu ya ushambiliaji ya MAN U this year naona bado ni mbovu haswa baada ya kuondokewa na kinara wetu Ronaldo.

Hii falsafa ya kwamba timu na washezaji wapya na wageni watajenga momentum as time goes on, naona ni mbaya sana kwani wenzetu are not under trials they are after winning business.

Am afraid to see Sir Alex is lacking new tricks and better options now he is relying on lucky...! Ni vigumu sana kulitetea kombe mwaka huu..!
 
Obertan anaanza kucheza lini? Owen ni mmaliziaji mzuri sana kama kuna midfield ya kueleweka.
 
It was really a hard game for us MAN U. But aisee bila own goal la Arsenal sioni kama tungeshinda leo na pia bado sijaelewa substitution strategies and plans za Sir Alex manake inaonekana anasubiria mpaka dk za mwishoo kabisa ndio anaweka wachezaji ambao wangeweza kubadilisha matokeo mapema...!

Safu ya ushambiliaji ya MAN U this year naona bado ni mbovu haswa baada ya kuondokewa na kinara wetu Ronaldo.

Hii falsafa ya kwamba timu na washezaji wapya na wageni watajenga momentum as time goes on, naona ni mbaya sana kwani wenzetu are not under trials they are after winning business.

Am afraid to see Sir Alex is lacking new tricks and better options now he is relying on lucky...! Ni vigumu sana kulitetea kombe mwaka huu..!
Sour grapes
 
Back
Top Bottom