Unajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
 
Hapo hamna kocha anaeweza kufundisha man u hata sosha ilikuwa nafasi ya upendeleo hakustahili maana hakuwahi kuprove chochote kwenye soka la ushindani kimbinu na kimafanikio maana amefundisha Cardiff akaishusha daraja...na iyo molde kwahy hawa sijui malegend wanatuharibia timu wanaongea sana wanatetea upande wao mfano mzuri ni kushindwa kumtimua sosha ni kama ilikuwa ngumu sana mbaka tumemuacha conte ameenda spurs
Nyie mnasema tu Eti ki-mbinu. Hana lolote socha.. Socha ni mpole wachezaji wanafanya upuuzi.. hata Bruno aliwaambia mashabiki achaneni na kocha wachezaji ndio wapuuzi... So Socha =wachezaji wapuuzi kina bisaka na beki wenzie .. kuumia kwa bailly ni kazi. Kuumia kwa huyu mgeni kutoka Madrid ninkupiga kazi.... Tena hata Bora huyu mswidish... wengine wapuuzi tu

Unamuona rashford. Juzi aligusa Mpira mara ngapi... Uchambuz unaonyeaha hata kipa(degea) kacheza mpira many times yake....

Halafu nikuache tu... Mnasema tu Ile timu hata mm naiweza..

Unadhani pep ni mpole, kocha wa Liverpool ni oya oya? Tuchi je
 
Unajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
Wewe huijui man UTD. Tukisema DNA kaa kimya
 
Manchester United Legends with Coaching Licences.
1. Steve Bruce
2. Mark Hughes
3. Paul Ince
4. Garry Neville
5. Michael Carrick
6. Jap Stam
7. Roy Keane
8. Phil Neville
9. Patrice Evra
10. Nick But
11. Ole Gunar Solkjaer
12. Wayne Rooney
13. Diego Forlan
14. Mike Phelan
Katika orodha hiyo amekosekana hata legend mmoja wa kuvaa viatu vya Ole ?
Steve bruce
Mark hughes
Wana uzoefu na epl
 
FEz5a8wVkA8ExhF.jpeg
 
Unajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
Timu kubwa zote ziko hivyo except real madrid.

Uliona legends wa Bayern walivyomkalia kooni Guardiola na Carllo Ancelloti au Nico Kovac ?
 
Akii nahisi hii timu imelogwa ... hakuna kocha anae itaka hii timu !!
Mimi nakomalia kwenye DNA tusiipotezee DNA ya timu yetu .. na mwelekeo sahihi uko kwa Brendan Rodgers.. naamini sana mfumo wake wa kupress ... cha muhimu si mpira wa kupress? mbinu anazo ..
Akishindwa tutajaribu msimu unao fata !! Tuwe tunajaribu jaribu makocha mpaka rooney atapo komaa kuifunza timu yetu

DNA ni jambo la muhimu sana kwa timu yetu .. na hawa malejendarii ushauri wao ni wa kuzingatiwa sana maana wanaijua timu yetu nje ndani
Mpaka unakuwa mzee unakufa team haijabeba chochote...

Hapo ndio utajua mambo YA DNA ni takataka. Wait and see.
 
Back
Top Bottom