Oya man 5 fans mpira ni starehe sio uadui msifikie huko aisee Hahahaha
Screenshot_2021-11-07-08-22-48-1.jpeg
 
Ole bana eti ana uhakika wa kupindua mambo ndani ya OT anachekesha sana kwa mpira upi wa kupindua mambo uwanjani? Kila siku afadhali ya jana.

Pep katudharau mpaka mwisho hajaona hata sababu ya kufanya sub maana ni huruma yani nadhani ingekua hiari yake angemtoa kipa akapate kahawa wacheze 10.
 
Ole anafurahisha Sana,Hana formation maalumu.Akiona formation inampa matokeo kwenye mchezo mmoja bas ataitumia kwenye mchezo ujao,ikitokea akafungwa bas ataachana na formation hiyo atahamia kwenye formation nyingine 🤣🤣jamaa ni mtu wa trial and error...
Kwa kifupi OLE amepanic. Hivi hizi kazi za ukocha hazinaga utaratibu wa kumpa mtu likizo japo ya two weeks. I think this man needs some time off ama sivyo ataendelea kuharibu vibaya sana.
 
Ferguson anatuharibia timu
Kuna rafiki yangu mmoja mtaani aliwahi niambia kua timu yetu haiwezi kurudi tena kama zamani mpaka Ferguson afe.

Siku ile nilimuona kama karopoka tu kwakua yeye ni mshika manati.

Ila kwakweli naanza kuamini mdogo mdogo.

Hata uwepo wa Ole mpaka sasa pale OT unatokana na Ferguson, laiti angekua kocha ambae hayupo ndani ya mfuko wa suruali ya Ferguson saizi Ole tulisha msahau tangu tulipo donyolewa na kuku.

Kuku alitufanya kitu mbaya sana.

Kichapo kile kiliidhinisha kabisa kufukuzwa kwa Sorkjaer, lakini kwakua yuko ndani ya mfuko wa suruali ya babu mpaka leo tunaendelea kumuona akitamba.

TATIZO SIO WACHEZAJI, KOCHA, WALA UONGOZI, TATIZO NI ZIDUMU FIKRA ZA FERGUSON.
 
Back
Top Bottom