Kama ilishabeba shida ipo wapi? Manchester city hawakukata tamaa miaka 80 wanazama wanaibuka hadi mwarabu kaokoa jahazi kwa mbindeeee


2007 wamepanda daraja ujue
Mwache abwabwaje TUU... Atanunua sana wachezaji wa M 100 uefa ataisikia KWENYE bomba
 
Kama kuna mtu wa mpira atamponda Bruno huyo ataongozwa na chuki ila kajamaa kwenye kutengeneza nafasi za kufunga yupo mbali sana tena sana ana takwimu za hatari sana ni vile hii timu haibebi makombe na kutokuwa na kiwango komavu vinginevyo ule ni msala.
Bruno ni mchezaji mzuri lakini weakness yake kubwa anafanya timu ishindwe kuretain possession kwa sababu anapoteza mipira sana.

Ukiwa na David Silva vs Bruno probably mwalimu mzuri atamprefer David Silver kuliko Bruno.
 
Bruno ni mchezaji mzuri lakini weakness yake kubwa anafanya timu ishindwe kuretain possession kwa sababu anapoteza mipira sana.

Ukiwa na David Silva vs Bruno probably mwalimu mzuri atamprefer David Silver kuliko Bruno.
Bruno wkt anakuja hakuwa na tatizo hili, wengi tulimuona ni master wa passes za macho lkn baada ya kuadapt mbinu za kocha bora duniani ndo amekuwa hivi.
 
Mimi najua timu moja tu dunian......

Manchester city ...


Hizi takataka nyingine zikapoteleee mbali...
Man city sawa na Azam bongo.Hazina fans,Fans wake wahamiaji.Sawa na jitu lijitokeze Kwa Sasa kusema nili fan la West ham baada ya kuanza kufanya vizuri.Rubbish ndo sawa na weweeeee....
 
Man city sawa na Azam bongo.Hazina fans,Fans wake wahamiaji.Sawa na jitu lijitokeze Kwa Sasa kusema nili fan la West ham baada ya kuanza kufanya vizuri.Rubbish ndo sawa na weweeeee....
Unataka kusemaje Sasa ,kupigwaa miti au ,sikuelewi msee
 
Kwenye makaratasi united ni kama mshapoteza against Liverpool, Chelsea, Man city. Hizi ni timu ambazo they are well coached, with high tactical minds.

Ole alichelewa kupata his priority , a top CM (Declan rice) kitu ambacho kinawaondoa kwenye title contention ingawaje mnaQuality all over the pitch.

Last season, Cavani up front timu ilibalance isipokuwa RW, mkamaliza second place, ujio wa Ronaldo unaharibu balance ya timu. Timu inakosa a top CM.

Midfield kwa sasa inahitaji Mc tominay na Fred waweFit the whole season, kitu ambacho ni impossible.
Fred has got his own flaws kama imposition ,lack of technical security. Mc tominay is superb

Pogba + Ronaldo on the pitch inawanyima intensity, too easy to keep the ball against like Leicester did

Pogba + Matic/VDB hamna kitu. Pogba cant play his game with Matic in pivot.

Hiyo ni kwa 4-2-3-1 shape anayoenda nayo sasa bwana Ole na 4-4-2 structure kwenye High press which is good. km atalazimika baadae kabla hajafukuzwa aende na back 3 ...Maguire,Varane, AWB may be he can get the best out of this group. Mtazamo tu.
Nimeishia apo uliposema McTominay is Superb..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom