brother, hatuna kisingizio wala yeye mwenyewe hatakiwi kuwa na kisingizio.
hii ni mechi ya nne tunacheza na leicester city tunaingia uwanjani tukiwa uchi, angalia timu muda wote timu ipo chini eti tunawaogopa hawa wajinga.
hatuwezi hata kuwapa presha wachezaji wao, yule amartey anacontrol mpira anavotaka bila ya kughasiwa.

inaumiza sana
Jiheshimu mkuu. Yaani unawaita Leicester wajinga??
 
Back
Top Bottom