baba na mwana
FBzTTgUXIAUaHv2
Mwana kaamua kumlipua baba.
 
EFL alicheza Daniel James Sancho upande wa kushoto na kulia alicheza James kama sikosei tumeshatolewa.

UEFA mechi zote alirotate kumbuka mechi hizo Rashford na Amad walikuwa na Injury na Daniel James tayari alikuwa ameshaondoka. Sasa Amad angechezeshwa akiwa na injury ?

Rashford amesharudi tutegemee Sancho kucheza kulia au kuendelea kucheza kushoto kama wataendelea na Greenwood upande wa kulia.
Kazi ya kocha ni kuhakikisha kila mchezaji unachuja mafuta toka kwake maana kila mchezaji anautofauti na ubora wake.....

Ole anaotea....endapo fergusona angekuwa hivi leo hii class ya 1992 au ronaldo tusingemjua......kina Louis Nani, Chicharito hao chini ya Ole wangefeli

Tukubali aina yetu ya mpira haifichi madhaifu ya wachezaji na inahitaji best players na specials bas.....

Hao kina garner, Dylan Levitt, mengi, Hanibal mejbri watafeli na hawawezi kucheza vizuri first team sababu timu yetu inacheza mpira mgumu kueleweja na mpira mgumu kwa young players wemye uoga na wasio na confidence.....Pellestri naamini Ole alichangia yeye kurud Alaves huko hachezi zaidi ya dakika 10 tunaexpect nini......Amad ni mzuri ukipatikana mfumo mzuri he is hell of a player.....

Ifike kama kina tyler Bracket waliperform chini ya Van gal inagine kina Imad wenye vipaj vyao...imagine sancho.

Sancho alinunuliwa acheze kulia ila ajabu kulia hapati namba na kushoto hapati namba sababu Winger wetu wa kushoto sikuhizi ni Paul pogba.....
 
Sasa huyo world class passer ipo wapi?.... mbona ni rahisi sana ni wewe kutoa stats halisi kama huyo jamaa ametoa stats za uongo
KDB haitaji status za ku google Kama huyo penato wenu ....

Quality yake inaonekana live kwenye screen ....

Keep watching
 
Kazi ya kocha ni kuhakikisha kila mchezaji unachuja mafuta toka kwake maana kila mchezaji anautofauti na ubora wake.....

Ole anaotea....endapo fergusona angekuwa hivi leo hii class ya 1992 au ronaldo tusingemjua......kina Louis Nani, Chicharito hao chini ya Ole wangefeli

Tukubali aina yetu ya mpira haifichi madhaifu ya wachezaji na inahitaji best players na specials bas.....

Hao kina garner, Dylan Levitt, mengi, Hanibal mejbri watafeli na hawawezi kucheza vizuri first team sababu timu yetu inacheza mpira mgumu kueleweja na mpira mgumu kwa young players wemye uoga na wasio na confidence.....Pellestri naamini Ole alichangia yeye kurud Alaves huko hachezi zaidi ya dakika 10 tunaexpect nini......Amad ni mzuri ukipatikana mfumo mzuri he is hell of a player.....

Ifike kama kina tyler Bracket waliperform chini ya Van gal inagine kina Imad wenye vipaj vyao...imagine sancho.

Sancho alinunuliwa acheze kulia ila ajabu kulia hapati namba na kushoto hapati namba sababu Winger wetu wa kushoto sikuhizi ni Paul pogba.....
kwanza comment yangu umeijibu out of context, hakuna sehemu yoyote niliposema Ole ni mwalimu mzuri ila mimi nilikuwa najibu comment ya the best kwamba Amad anastahili kucheza ilhali alikuwa na majeraha, na juu ya uwezo wa greenwoood over Amad wewe ungekuwa ungeanza na nani huko kulia kati ya Amad na Greenwood.
binafsi simuoni Amad kufikia hata uwezo wa Daniel James hata kama angekuwa anapigania namba na Daniel James I would prefer Daniel James over Amad.
 
Mkuu nimetoa hiyo comment kuonesha asilimua 70 ya wachezaji wetu wanaflop na hawapati nafasi sababu ya kocha......kungekuwa na mfumi mzuri hata imad amgecheza hizo mechi 15 na akaonesha maajabu makubwa tu
 
EFL alicheza Daniel James Sancho upande wa kushoto na kulia alicheza James kama sikosei tumeshatolewa.

UEFA mechi zote alirotate kumbuka mechi hizo Rashford na Amad walikuwa na Injury na Daniel James tayari alikuwa ameshaondoka. Sasa Amad angechezeshwa akiwa na injury ?

Rashford amesharudi tutegemee Sancho kucheza kulia au kuendelea kucheza kushoto kama wataendelea na Greenwood upande wa kulia.
Kwa style ya huyu kocha nadhani dunia isingewashuhudia kina ronaldo na Messi, wangepotea.
 
Mkuu nimetoa hiyo comment kuonesha asilimua 70 ya wachezaji wetu wanaflop na hawapati nafasi sababu ya kocha......kungekuwa na mfumi mzuri hata imad amgecheza hizo mechi 15 na akaonesha maajabu makubwa tu
Amad alipewa nafasi msimu uliopita na akaonyesha hayo maajabu au nyinyi mnataka maajabu gani ?
goal letu dhidi ya Ac Milan liliotupeleka fainali Europa Ligi alifunga yeye ndiyo maana msimu huu hakutolewa kwa mkopo kama Pellistri.
 
Kwa style ya huyu kocha nadhani dunia isingewashuhudia kina ronaldo na Messi, wangepotea.
hii ni Wishful thinking mkuu, Ole akiwa kocha wa academy yetu alizalisha kina Pogba, Lingard, Ravel Morisson, na kule Molde alizalisha kina Halaand, Keprin Diata na wengineo, na sasa hivi kamuibua Greenwood.
 
Amad alipewa nafasi msimu uliopita na akaonyesha hayo maajabu au nyinyi mnataka maajabu gani ?
goal letu dhidi ya Ac Milan liliotupeleka fainali Europa Ligi alifunga yeye ndiyo maana msimu huu hakutolewa kwa mkopo kama Pellistri.
alicheza mechi ngapi?....tuweke hili sawa alafu tulete stats za rotation za makocha waliopita na timu pinzani rotation zao tuzijadili humu
 
mimi sikumbuki mechi alizocheza lakini kwa zile alizocheza alionyesha hayo maajabu kwa kufunga goal lililotupeleka Semi Final.
kama ulitaka acheze mechi zote hilo sasa mimi siwezi kulijibia
 
KDB haitaji status za ku google Kama huyo penato wenu ....

Quality yake inaonekana live kwenye screen ....

Keep watching
inaonekana wapi, embu tuoneshe hapa kama ilivyoonyeshwa hapo juu walivyofanya akina Lampard, Xavier n.k.
 
hii ni Wishful thinking mkuu, Ole akiwa kocha wa academy yetu alizalisha kina Pogba, Lingard, Ravel Morisson, na kule Molde alizalisha kina Halaand, Keprin Diata na wengineo, na sasa hivi kamuibua Greenwood.
Naomba nipingane na wewe kwa kuweka swali hapa.....je Ole alivyokuwa academy manager 2008 - 2011 kuna mchezaji wa academy alipanda first team ajawa regular? Kama yupo naomba nitajie
 
Back
Top Bottom