Mchezaji ameshinda kila kitu.

Bado kiu ya mafanikio itaendelea kuwepo ndani yake?
Sioni kama hili ni tatizo, kwa ubora wake kwangu mimi naamini tumelamba ndume hofu yangu nilijua tungetumia pesa nyingi sana ambayo ingetuzuia kufanya sajili nyingine ila ni kinyume chake.

Safu yetu ya ulinzi ilihitaji zaidi beki mwenye uwezo mkubwa kuliko yeyote tuliye naye pale. Tulikuwa tunafungwa magoli mepesi mepesi sana ya kona na set pieces. Msimu ulioisha juzi tumeruhusu goli 14 ktk set-pieces pekee, tumezidiwa na Leeds tu.

Bahati nzuri ni kama maoni yetu yalionwa humu juzi kwa mara ya kwanza timu imeajiri set-pieces specialist & individual development coach kwa ajili kuimarisha safu ya ulinzi anaitwa Eric Ramsey. Haya yalikuwa maoni yangu mwezi wa 12 mwaka jana aangalia hapo nilipo-bold.
Kusema ukweli ukiweka mahaba kando, hatufiki popote timu ikiendelea kuwa chini ya Ole. Ni mwalimu wa soka mwenye uwezo mdogo sana.

Narudia tena kusema, timu yetu inaokolewa na uwezo binafsi wa wachezaji na sio mbinu za mwalimu.

Tumekuwa tukifungwa magoli ya kimakosa yale yale yanayojirudia, huyu Ole ana-train nini huko mazoezini? Hili goli la Westham ni carbon copy ya goli lile lile la Southampton wiki iliyopita.

Kama Ed anamuelewa sana Ole basi aajiri specialist tactics coach wa kumpa msaada Ole. Wale wasaidizi wake watatu wakiongozwa na Mike Phelan sioni ubunifu wao.
 
Hana cha kutafuta tena, ni heri tungeangalia mwingine labda kocha anataka experience pia kwenye safu ya ulinzi.
Tulihitaji zaidi mlinzi mzoefu hofu yangu nilijua tungetumia pesa nyingi. Mchezaji kama Jules Kounde angekuja kucheza chini ya Harry ila kwa Raphael watacheza kama patners. Mchezaji pekee aliye sokoni angeweza kutufaa nje ya Raphael ni Kalidou Koulibaly.
 
Sioni kama hili ni tatizo, kwa ubora wake kwangu mimi naamini tumelamba ndume hofu yangu nilijua tungetumia pesa nyingi sana ambayo ingetuzuia kufanya sajili nyingine ila ni kinyume chake.

Safu yetu ya ulinzi ilihitaji zaidi beki mwenye uwezo mkubwa kuliko yeyote tuliye naye pale. Tulikuwa tunafungwa magoli mepesi mepesi sana ya kona na set pieces. Msimu ulioisha juzi tumeruhusu goli 14 ktk set-pieces pekee, tumezidiwa na Leeds tu.

Bahati nzuri ni kama maoni yetu yalionwa humu juzi kwa mara ya kwanza timu imeajiri set-pieces specialist & individual development coach kwa ajili kuimarisha safu ya ulinzi anaitwa Eric Ramsey. Haya yalikuwa maoni yangu mwezi wa 12 mwaka jana aangalia hapo nilipo-bold.
Mkuu msimu uliopita hatukufungwa magoli mengi ya set pieces bali tulifungwa magoli mengi ya individual mistakes tu.

Ila tuliimprove sana kwenye set pieces.
 
Tulihitaji zaidi mlinzi mzoefu hofu yangu nilijua tungetumia pesa nyingi. Mchezaji kama Jules Kounde angekuja kucheza chini ya Harry ila kwa Raphael watacheza kama patners. Mchezaji pekee aliye sokoni angeweza kutufaa nje ya Raphael ni Kalidou Koulibaly.
Khalidou Koulibaly kashuka sana kiwango toka mechi ya Napoly na Barcelona hakuna tena klabu inayomtaka.
 
Kwani ameshinda EPL, UEFA na United?

Kikubwa ni uzoefu wake ndio una umuhimu sana
Mimi pia natazama uzoefu wake utatusaidia sana.

Kingine pace yake ni outstanding.

Kitu kipya atakachokuja kuongeza ni defending kwenye wide areas hasa zinapotokea counter.

Ila nina was wasi huenda Lindelof akamkalisha benchi Maguire.
 
Lindelof amweke Maguire nje?

Ngumu sana aisee hata kama Maguire atadrop kiwango bado sioni ni namna gani Ole atamweka nje British player huyu.
 
Back
Top Bottom