Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
Huyu kwanini hataki kutushukuru?
Huyu kwanini hataki kutushukuru?
SanaaaaaaaMh we ungekua Lukaku ungeshukuru?
Mganga wa Rashford ni sawa na wa Mugalu
Rashford hajafit kwenye mechi ya leo, nadhani Kocha hataki kutoa wapiga penalty.Mganga wa Rashford ni sawa na wa Mugalu
Siku hizi hafit kabisaRashford hajafit kwenye mechi ya leo, nadhani Kocha hataki kutoa wapiga penalty.
Dogo hajielewi kabisa... Kazi anayoipiga Greenwood.. Rashford anachakujifunza.
Huyu kocha hajui aseeeHii sub sijaelewa kabisa.
Nadhani umeona sub iliyofanyika. Japo hajatoka Rashford lakini katoka Greenwood ambaye ni Winga kaingia Fred. Maana Pogba anasogea mbele.Mkuu yani Pogba atoke,ili Rashford abaki(asogee mbele) ?
Fred aingie Rashford atoke.
Yaani timu inakuacha kwa kusema hauwezi kufunga ina strikers bora kukuzidi kisha unaishukuru?Sanaaaaaaa