Sisi Villarreal
20210526_092730.jpeg
 
Villarreal anakufa Leo vzr tu... Mashabiki wa man utd msiwe na waswas kwani nadhani mnafahamu rashford yupo na ni mchezaaji wa mechi kubwa.... Ataweka pia greenwood ataweka na Bruno na cavani pia watatupia mabao...
 
Solskjaer: "Fred has been injured this week, he only trained last night, he got through the session but we didn’t want to risk him for the full 90." #muzone [MUTV]
 
Unai Emery, Coach wa Villareal hii itakuwaa fainali yake ya 4 ya europa league ndani ya miaka 10. Mara 3 alikuwa na club ya sevilla na alifanikiwa kunyanyua hili kombe mara tatu mfululizo.
Game ya leo ni 50/50. Ila kwa game ya mwisho kati villareal na real Madrid jumamosi iliyopita inanifanya niamini kwamba hii game itakuwa ngumu sana kwenu.

Hawa jamaa wanapiga pass za hatari. Mashambulizi yao unaona movie za magoli kabisa. Kwa beki zenu za Baily na Lindelof mjiandae kisakolojia. Niwatakie ushindi kwenye hii game japo sioni ni kwa namna gani mnaweza kushida.
 
Bwashee unanitisha balaa, Huu mpira utadhani tumelazimishwa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom