Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,915
- 63,902
Mbali na nilipo au? mi mgeni hukuNikiwa hapa Tanga jiji
Mbali na nilipo au? mi mgeni hukuNikiwa hapa Tanga jiji
Nyie ndio mashabiki wa Martial...Greenwood mpaka dakika ya 9 alikuwa amepiga mashuti matatu ya nguvu golini. Hili la nne ndio goli. MARTIAL wako dakika 90 hapigi hata shuti moja.
Kwa mara ya kwanza namuona Rashford akitoa pass kali ya counter attack. Great
Mpaka sasa sijauona labda tukio lipi kafanya utoto wakati assist ni yake?Rashford utoto mwingi
Yaap ni mbali kama 105 hiviMbali na nilipo au? mi mgeni huku
ExactlyBench zur sana
Ebwana mmedominate game. Arsenal wenzangu mnaona hiki kinabo kinatishia kuimprove?
Ebwana mmedominate game. Arsenal wenzangu mnaona hiki kinabo kinatishia kuimprove?
Yeah hapo ni mbaliYaap ni mbali kama 105 hivi
Ebwana subiri uoneHaujaongea bado, bali utaongea
Anazitoaga sana sanaKwa mara ya kwanza namuona Rashford akitoa pass kali ya counter attack. Great