vipi chelsea ya Timo werner, haverte, Malang sarr, eduardo mendy na thiago silva inaimpact gani kwenye league?

Mpo nafasi ya ngapi vile?..... Pia unahitaji impact gani zaidi ya kuwa msaada kwa timu kuongoza league mkuu? Je kikosi chenu kimekosa impact hata ya kuwa top four mpaka baada ya game 19?

Pia on paper mpaka sahizi Werner na rashford nani anagoli nyingi na assist nyingi? Vipi haverts na bruno nani anacontribution kumzidi mwingine?
Mkuu hii man u tunaijua vizuri ni sisi ma fans wakongwe, ninyi vijana wa juzi hamwezi kabisa kuifahamu hii manjesta. .msimu wa jana miezi kama hii mulikuwa moto balaa ..lakini kwenye msimamo tulipishana point moja tu.
#CFC
 
Timu ndogo imeshakutoa semi final

Tuliza kikojoleo hicho

Man utd hii ya kina mashoo ,magwaya nayo ni timu


Acha kuaibisha league kubwa ulaya
hivi mkuu huwezi toa hoja bila kutukana? hivi hapo mbona ungemwambia nilishabikia toka kipindi cha Halland snr au toka kpindi cha kina Richard dunne mbona jibu lilikuwa simple sana,

Matusi hayakupeleki kokote toa hoja unapobishiwa matusi sio uungwana maana upo kwenye uzi wao sio uzi wenu wa city.
 
hivi mkuu huwezi toa hoja bila kutukana? hivi hapo mbona ungemwambia nilishabikia toka kipindi cha Halland snr au toka kpindi cha kina Richard dunne mbona jibu lilikuwa simple sana,

Matusi hayakupeleki kokote toa hoja unapobishiwa matusi sio uungwana maana upo kwenye uzi wao sio uzi wenu wa city.
Kumjibu Mtu kama huyo hivo ni matumizi mabaya ya akili....!
 
Dah!! Hizi dharau sasa. Tusubiri tuone
Sio dharau mkuu ..tuna angalia na nyakati zinavokwenda.
Hii manure kufika level za akina Tevez,Anderson,Babatov, Cr7, Rooney, na miamba wengine kama akina Valencia, Luis nani, Ashley young, wale madogo mapacha wa Brazil, akina pak ji sung, beki kama evra, yule mchambuz aliyepewa timu ya Valencia akafeli, kipa kma Van'Desaa... dah hii manure ya sasa unadhan inaeza fikia kiwango kile?? Hahahaha una takataka kama Rashid Makame, magwaya, bisakka ..bishoo kama mashoo kufikia kiwango kile sahau mkuu.
#CFC
 
Kesho tena ni

==========
McTominay Fred

Rashford Fernandes Pogba

Cavani
==========

Au tuache uoga tuende hivi?

================
Pogba Fred

Greenwood Fernandes Rashford

Cavani

========
 
Screenshot_20210123-171619.jpg
 
Back
Top Bottom