Hahahahaha...maneno ya wakosaji waliokata tamaa na timu zao, wanaanza kuiwangia Man utd. Hahahahha am humbled you know...hahaha
Mkuu tembelea dunian kote

Swala la man utd kubeba EPL haliingii akilin ,kuongoza league sawa coz hata saton ameshawahi kuongoza
 
kutwaa ubingwa kwa manchester united kunategemea kwa wapinzani wetu kupata matatizo.
liverpool aendelee kupata matokeo hayo hayo
 
kutwaa ubingwa kwa manchester united kunategemea kwa wapinzani wetu kupata matatizo.
liverpool aendelee kupata matokeo hayo hayo
Usifikili klop yeye ni kilaza namna hio aendelee kupata hayo matokeo

Liverpool bado ni teami tushio kwenye kugombania ubingwa ,kwa wanaoona wameshamaliza basi wanamatatizo
 
Hii Manchester ya akina Rashid makame, na masho haina impact yeyote ile ..ikifika March hapa mtaanza kumtafuta nani mchawi..
 
Shabiki wa team ndogo unahangaika sana ukute umeanza shabikia City kipindi cha Guardiola, you are very immature in football
Timu ndogo imeshakutoa semi final

Tuliza kikojoleo hicho

Man utd hii ya kina mashoo ,magwaya nayo ni timu

Acha kuaibisha league kubwa ulaya
 
Wakati mwingine unahitaji bahati mbaya kama hizi kwa wapinzani ili utwae ubingwa.
Vardy naye out anafanyiwa groin surgery.
Imebaki kuwaroga liverpool tu waendeleze form yao ya kupoteana ili tuweke gap kubwa zaidi.
Wakuu hata kama kuna namna ya kutumia paka tutumie tu mwaka huu tuimalize aibu ya miaka 8 bila ndoo.
GGMU
Liverpool nae Henderson out,
 
Hii Manchester ya akina Rashid makame, na masho haina impact yeyote ile ..ikifika March hapa mtaanza kumtafuta nani mchawi..
vipi chelsea ya Timo werner, haverte, Malang sarr, eduardo mendy na thiago silva inaimpact gani kwenye league?

Mpo nafasi ya ngapi vile?..... Pia unahitaji impact gani zaidi ya kuwa msaada kwa timu kuongoza league mkuu? Je kikosi chenu kimekosa impact hata ya kuwa top four mpaka baada ya game 19?

Pia on paper mpaka sahizi Werner na rashford nani anagoli nyingi na assist nyingi? Vipi haverts na bruno nani anacontribution kumzidi mwingine?
 
★ Diogo Dalot: “I am completely focused on what is going on here [at AC Milan]. When I go home and I can rest, I can see Manchester [United] games, Porto games and be happy with them, because they are winning and they are doing fantastic.”★

#GGMU

manutd |
IMG_20210123_111748_370.jpeg
 
Wakati mwingine unahitaji bahati mbaya kama hizi kwa wapinzani ili utwae ubingwa.
Vardy naye out anafanyiwa groin surgery.
Imebaki kuwaroga liverpool tu waendeleze form yao ya kupoteana ili tuweke gap kubwa zaidi.
Wakuu hata kama kuna namna ya kutumia paka tutumie tu mwaka huu tuimalize aibu ya miaka 8 bila ndoo.
GGMU
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom