Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,509
- 30,558
Heeee??Huyo jamaa anamkubali sana cavani... anasema cavan anajuwa sana kukaa sehemu za kufunga..
Tatizo la man u ni hakuna mtu sahihi wa kumlisha mipira afunge..
Heeee??Huyo jamaa anamkubali sana cavani... anasema cavan anajuwa sana kukaa sehemu za kufunga..
Tatizo la man u ni hakuna mtu sahihi wa kumlisha mipira afunge..
Huyo ole akiendelea kumpa game time chache cavani utakuwa ndy mwisho wake,,★Acha tuone Meneja atacho fanya mechi zijazo tumelalamika kuhusu Van der Beek naona katuelewa tusubiri kw huyu bwana mkubwa EDINSON*
Hakika mkuu,,,Heeee??
Nayaona ma chelshit na ma Arse8 yanavyoumia kuona Cavani na Bruno waking'aa bila penalty, yameumia kweli kweli na huwezi kuyaona humu week nzima
Maneno ya van persi mkuu,,sio mmHeeee??
Mimi niliangalia kipindi cha kwanza tu, nikakimbia.Huyo ole akiendelea kumpa game time chache cavani utakuwa ndy mwisho wake,,
Maana mashabiki wote wa man u duniani wanahitaji cavani aanze..
Mkuu tungekuwa na martial,rashford na mdogo wa greenwood tulikuwa tunaliwa mbili 0mkuu ni kweli Cavani ameniprove wrong (half of my comment) ila bado na stand na point yangu, hata leo ukiangalia sisi na southhampton hatujatofautiana sana, na point yangu ipo valid kukosa mtu wa kuhold mpira mbele, tukiwashambulia sekunde 30 tu wapo golini kwetu.
Me niliangalia kipindi cha kwanza tu, nilipoMimi niliangalia kipindi cha kwanza tu, nikakimbia.
Nilivyo gundua Cavani yuko nje, nikajua hatushindi leo.
Nashukuru tumeshinda, heshima imerudi.
Cavani sio mchezaji wa kuanzia benchi
Kweli kabisa mkuu,,maana jamaa katoa assist moja,,Mkuu tungekuwa na martial,rashford na mdogo wa greenwood tulikuwa tunaliwa mbili 0
Three things are certain in life. Taxes, death and Spurs bottling the league. I can bet my life those guys hawawezi kubeba ndoo. Wanachangamsha genge tu.Mimi bado naamini msimu huu tunachallenge ligi, timu pekee ambayo kidogo inatisha ni spurs, na wao pia sidhani kama wana depth ya maana hasa vile wanacheza Europa
Huyu Bw. aendelee kutokea benchi ndipo anakuwa na impact kubwa zaidi★Acha tuone Meneja atacho fanya mechi zijazo tumelalamika kuhusu Van der Beek naona katuelewa tusubiri kw huyu bwana mkubwa EDINSON*
Kaonyesha vyote anaweza kutengeneza nafasi na pia kutumia nafasi goli la tatu kujikunja kama samaki was penye cent 5 (sijui kama vijana wanaijua hii. )bado ana vitu vingiHakika mkuu,,
Ndy maana nikasema siku moja wakati namchambuwa martial,,
Nilisema striker gani hapigi vichwa?
Martial anapiga kichwa huku kafumba macho..
Leo ndy imeonekana dhahiri kwamba striker no 9 lazima ujuwe kupiga mashuti,,na pia uwe mkali wa vichwa,,
Naamini mkuu sasa timu pinzani zikicheza na man u,,
Macho yote kwa cavani,,,
Hata van persi analijuwa hilo,,,View attachment 1637859
Spurs ya JMou hii sio ya Poch.Three things are certain in life. Taxes, death and Spurs bottling the league. I can bet my life those guys hawawezi kubeba ndoo. Wanachangamsha genge tu.
Kuhusu ku-challenge ndoo kusema ukweli Ole ana uwezo mdogo sana kimbinu. Mechi almost 90% ya msimu huu tulizoshinda sio strategy ya mwalimu ni juhudi binafsi za baadhi ya wachezaji hasa hasa Bruno.
Nashawishika kuamini kwa sasa ni ngumu sana Manchester United kupata ushindi bila Bruno uwanjani. Ole hawezi kutupa kombe la maana labda Carabao.
Hawana ubora wa kubeba kombe labda wamalize nafasi nne za juu.Spurs ya JMou hii sio ya Poch.
Huyu jamaa ananikumbusha jinsi Real Madrid ilivyowachukua muda mrefu sana kukubali ukweli kwamba Iker Casillas ameisha.✓De Gea..not pleased with his perfomance today..5/10
Ohooo!!!Huyu Bw. aendelee kutokea benchi ndipo anakuwa na impact kubwa zaidi
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa ni hatari,,Kaonyesha vyote anaweza kutengeneza nafasi na pia kutumia nafasi goli la tatu kujikunja kama samaki was penye cent 5 (sijui kama vijana wanaijua hii. )bado ana vitu vingi
Kweli mkuu,,,na hata ile assist ya rashford alitaka afunge mwenyewe,,Juzi nilimpangia Ole kikosi vizuri ila leo akamuacha Cavani nje..Nachotaka kumwambia ni kuwa Greenwood,Rashford,Martial hawa watoto sio wa kuwadekeza ..kule mbele tunahitaji watu wa kufunga biashara mapema..Na Cavani is your man
Vitoto kufunga havufungi,pasi za mwisho proper vichoyo kutoa..yaani hovyo kabisa
Martial na Rashford wagombanie namba kushoto..Cavani asimame katikati..hizi timu ndogo tutajipigia kirahisi..
✓Fred kanikamatia dimba vizuri sana leo..nimefurahi 8/10
✓Matic too slow.. 6/10
✓Maguire ametulia sana leo 8/10
✓Telles anajitahidi 7/10
✓Bruno,Poor first half,Good second half 7/10
✓De Gea..not pleased with his perfomance today..5/10
✓Rashford..ubinafsi wakati timu inataka goli..5/10
✓Cavani..hakuna kuongea hapa.. 10/10
✓VdB..Fantastic touches..8/10
✓AWB..Not bad..7/10
✓Lindelof..Not bad ..7/10