★#OnThisDay 16 years ago, Sir Alex took charge of his 1000th #MUFC match

#GGMU

manutd |
IMG_20201123_223640_701.jpeg
 
★Former Manchester United player Maurice Setters dies aged 83 after battle with Alzheimer's.
He played 194 times for United in the 1960s, winning the FA Cup in 1963 and captaining the team on a number of occasions. RIP

#GGMU

manutd |
IMG_20201123_223629_670.jpeg
 
★BBC | A maximum of 4,000 fans are to be allowed at outdoor events in the lowest-risk areas when the national lockdown in England ends on 2 December.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201123_223619_622.jpeg
 
★Jan Aage Fjortoft | United are keen on signing both Dayot Upamecano and Marcel Sabitzer if they are available for transfer.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201123_223609_467.jpeg
 
Uwe na goal getters kama Lukaku, Chicharito, Berbatov, RVP.

Ndo maana nasema, Man Utd tunamuhitaji sana Haaland kuliko Sancho.View attachment 1633208
Mkuu unahitaji goal getter gani zaidi ? Wakati hawa tulionao ole hawatumii?

Hivi utamuwekaje nje cavani?
Umchezeshe martial?

Mashabiki pamoja na legendary wengi wanashauri ole atumie mfumo wa kuwachezesha martial left,,rashford na cavani..
Lakini ole kaziba masikio...

Martial nishasema muda mrefu hafai kuaminiwa...
Screenshot_2020-11-23-09-17-20.jpeg
 
Mkuu unahitaji goal getter gani zaidi ? Wakati hawa tulionao ole hawatumii?

Hivi utamuwekaje nje cavani?
Umchezeshe martial?

Mashabiki pamoja na legendary wengi wanashauri ole atumie mfumo wa kuwachezesha martial left,,rashford na cavani..
Lakini ole kaziba masikio...

Martial nishasema muda mrefu hafai kuaminiwa...View attachment 1633404
Mambo si ndiyo hayo
 
Ipo vzr..lakini lazima tuweke double attacking midifilders hapo mbele acheze na Bruno,,inapaswa kati ya rashford,, au martial mmoja aanzie bench,,kulia akae mata..au VDB..
tutashinda mapema sn
Mata amekuwa weak sana aisee..hayupo sharp tena

Hapo kwa double attacking mid nakubaliana na wewe,tunaweza kuanza na Fred,VdB na Bruno,lakini inabidi wote wawe na compusure nzuri,ili tukeep possession..
 
Hapo sawa mkuu,,kikosi kipo vzr,,
 
Back
Top Bottom