Wachezaji hawawezi hata kutoa pasi zikafika, mechi nzima wanapoteza mipira tu..Mechi mbovu+kubebwa live, foolish.
Huyu anatupa headache tu.Hivi Socha atatupa nini na lini?
EPL?,UEFA?
miaka 4 ijayo chini yake mwendo utakuwa ndio huu, nilikuwa namsoma mourinho hapa jinsi alivyojiandaa dhidi ya man city theoratically nimebaki na mshangao. kocha wetu ndio adui wetu mkuu kwa sasa pasina kuangalia matokeo pekeeHivi Socha atatupa nini na lini?
EPL?,UEFA?
Kila cku yeye na 4-2-3-1 lifomesheni limeshafeli bado analing'ang'ania tu, timu ndogo km zile jaribu fomesheni nyengine hata 3-5-2 anaogopa, ss huyu ni kocha kweli huyu? Spain hakunaga ufalamanga km huo, angalia jinc koeman atakavyofurushwa pale Barca, soon tu.miaka 4 ijayo chini yake mwendo utakuwa ndio huu, nilikuwa namsoma mourinho hapa jinsi alivyojiandaa dhidi ya man city theoratically nimebaki na mshangao. kocha wetu ndio adui wetu mkuu kwa sasa pasina kuangalia matokeo pekee
sasa 3-5-2 anamkaba nani na west brom? formation hii ni defensive zaidi.Kila cku yeye na 4-2-3-1 lifomesheni limeshafeli bado analing'ang'ania tu, timu ndogo km zile jaribu fomesheni nyengine hata 3-5-2 anaogopa, ss huyu ni kocha kweli huyu? Spain hakunaga ufalamanga km huo, angalia jinc koeman atakavyofurushwa pale Barca, soon tu.
aliwasoma man city jinsi ya kukabiliana nao wanapofanya build up wakiwa na wachezaji 3 au 4, pindi man city wanapo apply pressing na hata wasipo apply pressing. mwalimu bora huicheza mechi kwanza nje ya uwanja kimaandalizi.Mou kafurahi mbaya kumkaanga pep maana ana rekodi nae mbovu sana H2H
Unakuwa defensive kwa kumiliki mpira lkn pia unakuwa na forward wawili, but ukiacha 3-5-2 ambayo itaruhusu kuwa na viungo wengi angeweza kujaribu hata 4-3-3 mana hyo 4-2-3-1 haitufai kabisa.sasa 3-5-2 anamkaba nani na west brom? formation hii ni defensive zaidi.
1. 3-5-2 haina viungo wengi ni watatu tuUnakuwa defensive kwa kumiliki mpira lkn pia unakuwa na forward wawili, but ukiacha 3-5-2 ambayo itaruhusu kuwa na viungo wengi angeweza kujaribu hata 4-3-3 mana hyo 4-2-3-1 haitufai kabisa.
Sio kweli unachokisema mkuu, ni kwmb 3-5-2 inakuwa na beki 3 viungo 5 (3 Central midfield and 2 outside midfield) na forward wawili.1. 3-5-2 haina viungo wengi ni watatu tu
2. mabeki ndio mawinga ina maana Telles na Bissaka ndio tuwategemee.
so mabeki 3 + telles na Bissaka tayari una mabeki 5, tofauti na 4-2-3-1 yenye mabeki 4,
Sema tu kwmb huu mfumo unahitaji tm iwe vzr na kwa tm yetu mfumo huu tunauweza.1. 3-5-2 haina viungo wengi ni watatu tu
2. mabeki ndio mawinga ina maana Telles na Bissaka ndio tuwategemee.
so mabeki 3 + telles na Bissaka tayari una mabeki 5, tofauti na 4-2-3-1 yenye mabeki 4,
Mechi ya jana ndo ushindi wa kwanza OT tangu ligi ianze.Ile hela tulotakiwa tukamchukue nayo Sancho, tuitumie kumchukua Erling Haaland.
Hivi kumbe yalipata penati?Bila penalti hampumui kabisa NYUMBU nyie
Martial kaangalie sources nyingi nyingi uone mshahara wake ulivyo mkubwa kuliko Forwards wote pale Man UShipa ilo mzee na kocha naye shipa vile vile.
Wamepewa bure? Au mtu alinawa mpira wazi wazi.Bila penalti hampumui kabisa NYUMBU nyie