miaka 4 ijayo chini yake mwendo utakuwa ndio huu, nilikuwa namsoma mourinho hapa jinsi alivyojiandaa dhidi ya man city theoratically nimebaki na mshangao. kocha wetu ndio adui wetu mkuu kwa sasa pasina kuangalia matokeo pekee
Kila cku yeye na 4-2-3-1 lifomesheni limeshafeli bado analing'ang'ania tu, timu ndogo km zile jaribu fomesheni nyengine hata 3-5-2 anaogopa, ss huyu ni kocha kweli huyu? Spain hakunaga ufalamanga km huo, angalia jinc koeman atakavyofurushwa pale Barca, soon tu.
 
dah ila negativity za huu uzi wetu ni top level, kipindi cha fergie mechi kama hizi zinaweza zidi hata 10 kwa msimu, nimeshuhudia Man U kuanzia mwezi wa 11 mpaka wa kwanza hatujui ushindi zaidi ya 1-0 zaidi ya mwezi, tena magoli ya lala salama.

kuna siku mnacheza vizuri mnashinda, na kuna siku perfomance inakuwa mbovu unakubali hata 1-0.

liverpool msimu uliopita majority ya mechi zao walishinda kama hivi, even spurs mechi iliopita na wes Brom walikuwa kama sisi.
 
Kila cku yeye na 4-2-3-1 lifomesheni limeshafeli bado analing'ang'ania tu, timu ndogo km zile jaribu fomesheni nyengine hata 3-5-2 anaogopa, ss huyu ni kocha kweli huyu? Spain hakunaga ufalamanga km huo, angalia jinc koeman atakavyofurushwa pale Barca, soon tu.
sasa 3-5-2 anamkaba nani na west brom? formation hii ni defensive zaidi.
 
Unakuwa defensive kwa kumiliki mpira lkn pia unakuwa na forward wawili, but ukiacha 3-5-2 ambayo itaruhusu kuwa na viungo wengi angeweza kujaribu hata 4-3-3 mana hyo 4-2-3-1 haitufai kabisa.
1. 3-5-2 haina viungo wengi ni watatu tu
2. mabeki ndio mawinga ina maana Telles na Bissaka ndio tuwategemee.

so mabeki 3 + telles na Bissaka tayari una mabeki 5, tofauti na 4-2-3-1 yenye mabeki 4,
 
1. 3-5-2 haina viungo wengi ni watatu tu
2. mabeki ndio mawinga ina maana Telles na Bissaka ndio tuwategemee.

so mabeki 3 + telles na Bissaka tayari una mabeki 5, tofauti na 4-2-3-1 yenye mabeki 4,
Sio kweli unachokisema mkuu, ni kwmb 3-5-2 inakuwa na beki 3 viungo 5 (3 Central midfield and 2 outside midfield) na forward wawili.
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom