Nauliza kule bench la ufundi hakuna wa kumwambia Daniel James kuwa "kufunga sio kipimo pekee cha mashabiki kukukubali bali hata mchango wako wa kuassist kuwa threat, kupoteza wapinzani vinasaidia kuaminiwa zaidi ya kufunga" ili dogo awe sharp na contribution kubwa kwenye kuifanya man u title contender naona dogo anataka kufunga tu ili asifiwe.

Ajifunze kwa Van De Beek.

Ole Out, acha kujipendekeza kwa Pogba.
Ole Out, ndo ujue kunja nne sometimes majanga.
Ole Out, acha kutembea na Var Check ili ukalilie refa huku umekaa jukwaa la mashabiki.

Ole Out next time ukimuacha Mata na Van de Beek benchi tunakuchinja.

Ole Out Wakuu.
 
️ Man Utd - most PL goals scored v single opponent:
105 Newcastle
102 Everton
95 Tottenham, West Ham
️ Newcastle - most PL goals conceded v single opponent:
105 Man Utd
104 Liverpool
83 Arsenal
 
McTominay na Fred sio Fancy Mids,lakini wakipata match sharpness timu itakuwa inacheza..ni bora uwe na Fred anayecover eneo kubwa bila kuchoka kuliko kuwa na kiungo mwenye madoido mengi yasiyo na faida huku hawezi kusaidia lolote kwenye ulinzi..Let's Fernandes do the magic..Tominay na Fred wakate umeme taratibu
 
ukicheza na fred na Mctominay mbele unachezesha creative player yoyote asiekaba, Mata anaonekana kushine, ila hawa wawili ndio walikuwa wakimfanyia majukumu yake ili yeye afanye mambo yake.
 
McTominay na Fred sio Fancy Mids,lakini wakipata match sharpness timu itakuwa inacheza..ni bora uwe na Fred anayecover eneo kubwa bila kuchoka kuliko kuwa na kiungo mwenye madoido mengi yasiyo na faida huku hawezi kusaidia lolote kwenye ulinzi..Let's Fernandes do the magic..Tominay na Fred wakate umeme taratibu

Mata anatakiwa kuwepo pia mkuu kalainisha sana timu pogba vilevile atokee bench kuna haja Van de beek kuanza badala ya james
 
IMG_0042.jpg
 
tulikuwa tunacheza hivi muda mwingi msimu uliopita, tuliacha tu baada ya Corona break, pogba alivyopona.

Nakumbuka sana pogba aliporudi kila kitu kiliharibika kocha alikuwa akitaka bruno na pogba wacheze pamoja jambo ambalo ni gumu la sivyo james na martial au rashford mmoja lazima akae bench kama anataka pogba na bruno wacheze scott na fred au matic lazima wawili waaanze
 
mimi ninavyoona Pogba anacheza vizuri na DM kama Matic, hivyo tunaweza tengeneza patnership mbili tofauti na zikatumiwa kutokana na mechi mahitaji yake yalivyo.
 
mimi ninavyoona Pogba anacheza vizuri na DM kama Matic, hivyo tunaweza tengeneza patnership mbili tofauti na zikatumiwa kutokana na mechi mahitaji yake yalivyo.

Mkuu ni shida akicheza hivyo tukipoteza mipira mwepesi wa kutengeneza faulo zenye madhara kwetu fred hiyo kitu anazuia wakicheza pogba na mtic hao jamaa wanakabwa sana fred si mzur sana kwenye kupiga pasi na kwenda mbele ila kwa sasa kaimarika sana kwenye kuzuia ni bora awepo
 
ni kweli lakini pale ni mwisho wa mechi, unafikiri fernandez akianza kama 11 ni wazo la busara?
As long as ataperform naona ni sawa,wachezaji wengi wamebadilishwa no zao za awali wakaperform vizuri sana tu.

Ninaamini no nzuri ya mchezaji ni ile anayoimudu na sio ile aliyozoea au anayopenda.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Bruno Fernandes: "Everyone is talking about we need a defender, we need a midfielder, we need a striker, we need a winger. It is easier talking from outside saying we need everything and don't be on the pitch, you know?" #muzone [mutv]
 
Back
Top Bottom