Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 3,300
- 5,408
hahhaahhhahahahajahahah
MikojoMan u MAVI
Kivyovyote mkuu hata yangekuwa maji...anapataje ujasiri wa kunywa uwanjani!!?Pole mkuu ila ile ni kahawa au unaweza sema al kasus
Avr leo ipo bize inajiandaa ma michuano ya OLYMPICAnasubiri mshinde
HahahahahaMungu awatangulie jamaa zetu wa old Trafford....
acha kuilinganisha Man u na huo utopoloHii team kama CCM tu
Sisi united hii game hatutoki
Kosa la ole Ni lipi ndugu.Hii timu wasipoachana na Ole hata wamlete Messi,Ronaldo hamna kitu.
Tunarudiaaaaaaaa