Kumbukumbu zangu ziko hivi.

Man u v As Roma 7-2

Bayern Munich vs Barcelona 7-0

Real Madrid v Bayern Munichen 6 - 3

Bayern Munichen vs Barcelona 8-2

Barcelona vs Bayern Munichen 5- 3.

Rivalry ya Bayern na Barcelona siyo ya kawaida hizi timu ili uwaondoe kwenye mashindano lazima ufunge goli nyingi vinginevyo wanakutoa tu.

Ndiyo maana kila mmoja akimuotea mwenzake huwa anapiga kweli kweli.
Man u v Roma ilikuwa 7-1 mkuu
 
Ni yeye Messi wa EPL
My friend siku nikikutana na aliyempa hili jina tampiga paka apasuke yani aive Huyu jamaa ni moja kati ya Walaji Mishahara Ya Bure pale Man united yani kuna sehemu nasema ni utapeli mkubwa sana Chama kuchezea simba alafu lingard man united.
FB_IMG_1598300726423.jpg
 
Tatizo nyie wengine mmeanza kushabikia man u juzi especially baada ya betting kushika kasi lkn man u ishawahi kumpiga mtu bao 8-2 nao ni As Roma, game ya kwnz Roma alishinda kwao 2-1 akaja OT akakutana na hicho kiama, ule ni ushindi ambao ckuwahi kuuona kwny ucl mpk ile juzi Bayern Munich nayo inapata ushindi ule.
acha ujuaji nazungumzia mechi moja tu kule uefa mtu kufa nane
 
Tatizo nyie wengine mmeanza kushabikia man u juzi especially baada ya betting kushika kasi lkn man u ishawahi kumpiga mtu bao 8-2 nao ni As Roma, game ya kwnz Roma alishinda kwao 2-1 akaja OT akakutana na hicho kiama, ule ni ushindi ambao ckuwahi kuuona kwny ucl mpk ile juzi Bayern Munich nayo inapata ushindi ule.
OT tulishinda 7-1 = 8-3

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom