Huyo Rashford arudi ili isiwe kuta la masingizio. Muwe wote kamili alafu mje ANFIELD.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama vile hamjawahi kufumuliwa na hii timu visingizio vya nini labda? Yaani mtu ukae kusingizia kwa timu kama liverpool wakat imefungwa sna tu tukiwa na timu mbovu sema mnamoto kwa kuwa hizi mambo hamkuzoea mlikuwa ushindi kwenu adimu lazina mchachawe
 
Ole: “Will United sign a replacement for Young? Timothy is coming back as well, he’s a right back and played for Holland as a right back aged 19, we want him back, Diogo is back fit but the full back position we’re quite ok.” #mufc [MEN]
 
Hapa ndo ile nasemaga wakati mwingine tunatafuta stats zinazotupa faraja.

Nilitegemea tuje na Total Goals by Teams.

EPL: Man Utd 36 goals, Liverpool 50 goals.

Hapana mkuu kwa timu jinsi ilivyo kucheza bila viungo wabunifu na bado ukapata hizo goli kuna kitu kama mtu wa mpira unajifunza na kukubali je kama tunapata viungo wawili tu wa maana ingekuwaje?
 
Hapana mkuu kwa timu jinsi ilivyo kucheza bila viungo wabunifu na bado ukapata hizo goli kuna kitu kama mtu wa mpira unajifunza na kukubali je kama tunapata viungo wawili tu wa maana ingekuwaje?

Okay, that is true.

Lakini vipi kuhusu kocha, unadhani ana uwezo wa kuwa na hao viungo na akawatumia vizuri?

Bado OGS simwoni kama ni kocha anayeweza ku-exploit potential ya mchezaji to the maximum capacity. Au labda tuendelee kumpa muda tuone.
 
Hapana mkuu kwa timu jinsi ilivyo kucheza bila viungo wabunifu na bado ukapata hizo goli kuna kitu kama mtu wa mpira unajifunza na kukubali je kama tunapata viungo wawili tu wa maana ingekuwaje?
"KAMA" sikuzote ni neno la mjinga
 
Nina uhakika akipata viungo wabunifu tutafunga zaidi ya sasa

OGS bado haja prove uwezo wake kiivyo, bado ana safari ndefu
Okay, that is true.

Lakini vipi kuhusu kocha, unadhani ana uwezo wa kuwa na hao viungo na akawatumia vizuri?

Bado OGS simwoni kama ni kocha anayeweza ku-exploit potential ya mchezaji to the maximum capacity. Au labda tuendelee kumpa muda tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our new captain
Screenshot_20200117_140339_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika akipata viungo wabunifu tutafunga zaidi ya sasa

OGS bado haja prove uwezo wake kiivyo, bado ana safari ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app

BTW hata soko la makocha limekuwa gumu, au ni evolution ya game pia.

Back then we had players who would die fighting for their teams, kissing badges like it is the only thing their live for. You could stretch them to the maximum capacity, not this time around.

Most of the players nowadays listens to their agents more than they listen their coaches, that is why it is very common to hear a player crying that excises are too much, he wants to live the club, he can't work with this coach etc. The game is so ruined.
 
Okay, that is true.

Lakini vipi kuhusu kocha, unadhani ana uwezo wa kuwa na hao viungo na akawatumia vizuri?

Bado OGS simwoni kama ni kocha anayeweza ku-exploit potential ya mchezaji to the maximum capacity. Au labda tuendelee kumpa muda tuone.

Ni kweli kwa kocha kidogo bado hamna uhakika angalau angekuwa na matokeo mazur
 
Ni kweli kwa kocha kidogo bado hamna uhakika angalau angekuwa na matokeo mazur

Binafsi naamini Man Utd ni watu wenye uwezo wa kubattle kwenye transfer market, kama kocha akiamua kuwa strict kwamba namhitaji huyu na huyu ili nifanye vizuri ni very obvious kwamba atapewa wachezaji hao.

Changamoto kwa coaches ambao hawaja prove ni kujaribu kubalance mahesabu kwa kununua low price players ili akinunua kama 6 watatu wakafanya vizuri basi anakuwa pressure siyo kubwa.

Tulikutana na case ya namna hiyo kwa Brendan Rodgers, baada ya kumuuza Suarez, badala ya kutafuta mchezaji wa caliber ya Suarez alienda kuzoa kina Balloteli, Rickie Lambert, Can, Lallana, Danny Ings, Lazar Markovic, Moreno nk. Kati ya zaidi ya 18 aliowanunua baada ya Suarez kuondoka ni Gomez, Firmino na Milner ndo wamekuwa regulars first eleven. Which is poor rate.

Proven coaches ana demand mchezaji mmoja wa bei, ambaye anajua atabeba timu, na iki-backfire, ni in course of business. Ndo maana Klopp aliweza kutoa 75m kwa VVD, then 60+ kwa Alisson, and they have turned out to be the best. Wakati hiyo 140 Rodgers angenunua magarasha kama 8 hivi.

OGS bado sana, na ninaweza kusema hakuna atakapoipeleka hii timu, hana command.
 
Kwa akili zako za kwendea chooni hilo neno halipo kwenye kamusi ya kiswahili au mimi ndio nimelitengeneza? Pengine hujui maana yake tukufundishe lugha na matumizi yake
Eti Akili za kwendea chooni hahahahahahahaha.
 
Degea sio kiongozi, sio vocal kiivyo

Naona siku hizi makocha wengi wanachagua ma star kuwa ma capten wakati sio kila star lazima awe na leadership traits, kuna wengine kwa asili sio viongozi

Halafu mimi binafsi huwa naona hainogi captain akiwa golikipa au namba 9
Duh kaptain mpya mechi ya kwanza anacheza na Liverpool kweli noma ila kwa mimi nafikiri alistaili Degea hiyo nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
168 Reactions
Reply
Back
Top Bottom