radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
Kwa unavyoielezea hapa timu yenu, mtu akiambiwa haipo hata top 4 atabisha kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4 saiv kwani liverpool ni bingwa tayar?
Kwa unavyoielezea hapa timu yenu, mtu akiambiwa haipo hata top 4 atabisha kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Rashford arudi ili isiwe kuta la masingizio. Muwe wote kamili alafu mje ANFIELD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo ile nasemaga wakati mwingine tunatafuta stats zinazotupa faraja.
Nilitegemea tuje na Total Goals by Teams.
EPL: Man Utd 36 goals, Liverpool 50 goals.
Atacheza namba ya nani kule LFC?Mh! Hapa kwa Mc tominay ni mawazo yako ila hata me liverpool mwenzako nakupinga. I wish siku moja huyu jamaa angetua Anfield tungebeba vikombe mpaka vibakuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver hatujawahi kuwa na mechi rahisiHiyo mech ni ngumu japo mpo home
Hapana mkuu kwa timu jinsi ilivyo kucheza bila viungo wabunifu na bado ukapata hizo goli kuna kitu kama mtu wa mpira unajifunza na kukubali je kama tunapata viungo wawili tu wa maana ingekuwaje?
"KAMA" sikuzote ni neno la mjingaHapana mkuu kwa timu jinsi ilivyo kucheza bila viungo wabunifu na bado ukapata hizo goli kuna kitu kama mtu wa mpira unajifunza na kukubali je kama tunapata viungo wawili tu wa maana ingekuwaje?
Hapa ndo ile nasemaga wakati mwingine tunatafuta stats zinazotupa faraja.
Nilitegemea tuje na Total Goals by Teams.
EPL: Man Utd 36 goals, Liverpool 50 goals.
Okay, that is true.
Lakini vipi kuhusu kocha, unadhani ana uwezo wa kuwa na hao viungo na akawatumia vizuri?
Bado OGS simwoni kama ni kocha anayeweza ku-exploit potential ya mchezaji to the maximum capacity. Au labda tuendelee kumpa muda tuone.
Nina uhakika akipata viungo wabunifu tutafunga zaidi ya sasa
OGS bado haja prove uwezo wake kiivyo, bado ana safari ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, that is true.
Lakini vipi kuhusu kocha, unadhani ana uwezo wa kuwa na hao viungo na akawatumia vizuri?
Bado OGS simwoni kama ni kocha anayeweza ku-exploit potential ya mchezaji to the maximum capacity. Au labda tuendelee kumpa muda tuone.
"KAMA" sikuzote ni neno la mjinga
Ni kweli kwa kocha kidogo bado hamna uhakika angalau angekuwa na matokeo mazur
Duh kaptain mpya mechi ya kwanza anacheza na Liverpool kweli noma ila kwa mimi nafikiri alistaili Degea hiyo nafasi
Eti Akili za kwendea chooni hahahahahahahaha.Kwa akili zako za kwendea chooni hilo neno halipo kwenye kamusi ya kiswahili au mimi ndio nimelitengeneza? Pengine hujui maana yake tukufundishe lugha na matumizi yake
Duh kaptain mpya mechi ya kwanza anacheza na Liverpool kweli noma ila kwa mimi nafikiri alistaili Degea hiyo nafasi