Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,191
- 46,232
Beki hawahawa mbona ulichomoa kwa mbinde sana OT??View attachment 1324973
Kwa beki hizi zinazopinduliwa hivi mkuu wangu siku hiyo nahisi naweza kukuchapa goli kikapu.
Nina dogo anaroho ya kijerumani left back,Salah jumapili mwambieni tu ajipange,atawekwa mfukoni mapema sana kama Young alivyomfanya mechi zilizopita