Ubingwa hauna radha kama hatutawafunga.

Fabinho karudi, Matip yuko okay.

Just get ready for the show
Itakuwa ni AIBU,Itakuwa ni FEDHEHA kubwa kuchukua EPL Title bila kuwatungua hawa Vilema wa wasio na mbele wala nyuma this time tena ANFIELD.Hakuna Excuse yoyote ile ya kuwaacha hawa Tuna timu bora tuna wachezaji bora tuna Manager bora kuliko wao kwa ufupi sisi ni bora kwenye kila Department kuliko hawa Wamatubwi.HAWATOKI.
 
Kama wakicheza kama walivyocheza na Spurs

Kama tukiongeza bidii

Na kama VAR itakuwa kwa ajili ya pande zote mbili

Ukweli ndio huo, City ni tishio zaidi
Nilicheki gemu ya Spurs vs Liverpool..kama Liver watacheza vile kama walivyocheza na Spurs, na wachezaji wetu wakaongeza bidii kidogo,liva wanaweza wasiamini kitakachotokea..

Mimi huwa na hofu sana ninapocheza na Man City,Lakini huyu Liver huwa hawanipi pressure..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile game second half jamaa walituzidia kwenye midfield, game yenu Fabinho atakaa 6, kwa hiyo yale makosa ya game ile yasahau.

Kutokuwepo Rashford (ingawa sina uhakika kama kweli hatakuwepo), kunaweza kuathiri performance ya timu.
 
Sporting CP meager on Bruno Fernandes and if he will play on Friday

Only disaster will stop Bruno from playing derby against Benfica

To replace Bruno, you need 3 players, the one who will score goals, the one who will organise and the one who will defend like him

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli ya Kibabe sana, kwamba Bruno Fernandez ni sawa na watu watatu waliounganishwa...
 
Hapa pana kitu cha kufikirika!

Man U from position 1 to 3

IMG_20200114_182319.png
 
Duh...... Jamaa umenichekeshesha, badala ya kutoa mifano ya mabeki au viungo mahiri waliokuwa hawapitiki (kama Canavaro, Vidic, Terry) unantajia viungo na washanbuliaji kupigwa chenga ukielewa kabisa wao kuzuia sio strength yao
Hata wababe wa Chenga akina Dinho na Zizou wanapigika chenga vizuri tu ataewauliza lazima watamjibu hivyo huwa hamna mtabe mbele ya kulambwa chenga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Nimesikitika sana Rashford kupata injury I hope haotakuwa serious injury.Hatujitaji Excuse ya aina yoyote ile kutoka kwenu.
Naona kama siku haziendi hahahahahahahahah Ukiwa na timu bora Duniani raha sanaaaa.
Who is Next ???????Mjiandae kisaikolojia.

Excuse ya nini sasa toka kwa liverpool toka 2014 umeshinda gem 2 tu kwenye zile mech za uhakika united na ubovu wote katembeza kichapo kwako na kwetu
 
Itakuwa ni AIBU,Itakuwa ni FEDHEHA kubwa kuchukua EPL Title bila kuwatungua hawa Vilema wa wasio na mbele wala nyuma this time tena ANFIELD.Hakuna Excuse yoyote ile ya kuwaacha hawa Tuna timu bora tuna wachezaji bora tuna Manager bora kuliko wao kwa ufupi sisi ni bora kwenye kila Department kuliko hawa Wamatubwi.HAWATOKI.

Kitu kinaweza kuwapa ushindi nyie wazee wa lopolopo livakuku ni kwenye kiungo tu namkosa jemedali wangu scott na rashford bila hivyo vile vi trent na ka robatisoni vingelala na viatu kwa james na rashford usingeviona vikipanda kupiga mitungi vikipanda kupiga mitungu yule bek wenu mzito analamba mchanga fitness ya rash ni muhimu sana mnabahat sana nyie tumecheza hapo kwenu na fellain bado tumewafumua na huyo kocha wenu bora
 
Una siku 2 tu Kesho na kesho kutwa za kupiga porojo zako na kujishauwa na kujishebeduwa humu kwa hiyo zitumie vizuri hizi siku 2, Ijumapili utakuwa na wakaati mgumu sana.
 
Back
Top Bottom