Muokota Makopo
Member
- Jan 9, 2020
- 54
- 95
Masho au
Masho au
Dah Nimesikitika sana Rashford kupata injury I hope haotakuwa serious injury.Hatujitaji Excuse ya aina yoyote ile kutoka kwenu.
Naona kama siku haziendi hahahahahahahahah Ukiwa na timu bora Duniani raha sanaaaa.
Who is Next ???????Mjiandae kisaikolojia.
Gomez atakua kachukia..... alitamani amfanyie kile alimfanyia sterling!. last game alikua lovren mkuu usisahau
Gomez atakua kachukia..... alitamani amfanyie kile alimfanyia sterling!. last game alikua lovren mkuu usisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajua Waingereza wewe?
Wengine wote wametoa 3 points, bado nyinyi.
Tunazisubiri.
HahahahahahahahahWengine wote wametoa 3 points, bado nyinyi.
Tunazisubiri.
Baada ya dakika 45 za first half mtakuwa mmeshaziacha kirahisi mno save hii..
Ubingwa hauna radha kama hatutawafunga.
Fabinho karudi, Matip yuko okay.
Just get ready for the show
Nilicheki gemu ya Spurs vs Liverpool..kama Liver watacheza vile kama walivyocheza na Spurs, na wachezaji wetu wakaongeza bidii kidogo,liva wanaweza wasiamini kitakachotokea..
Mimi huwa na hofu sana ninapocheza na Man City,Lakini huyu Liver huwa hawanipi pressure..