Kama kawa ss3 kiganjani
Screenshot_20200115-223657.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another clean sheet for Romero

Goli tamu kutoka kwa Rashy>Tony>Mata

Williams is our first choice left back

Tangu 2012 hatukuwafunga hawa Mbweha, leo wamekubali

Next round FA here we go

Pamoja na kwenda kwa Raiola, kiwango cha Lingard bado hakiridhishi (nilidhani Raiola atamuongezea uwezo)

Bad news, Rashy will possibly be out on Sunday

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luke shaw atafute shughuli ya kufanya baada ya evra walau tunaweza kusema tunapata ka mtu ka kutufuta machungu



Brandon Williams vs Wolves:

100% long ball accuracy
86% pass accuracy
67 touches
6/7 duels won
3 clearances
2 interceptions
1 key pass

He did brilliantly against both Traore and Neto tonight.
IMG_1493.JPG
 
√Brandon Williams..what a left back!!..Shaw ajipange..Halafu huyu dogo ni right footed,lakini anacheza poa tu kushoto

√Matic +Fred too sloopy at times,,lakini wamecontrol gemu vizuri

√Hii miwolves imetutesa tokea kitambo sana,bora tu leo tumepata ushindi

√Lingard amekuwa kama mfu..
 
Back
Top Bottom