Hahahahahahahahahhii Manchester United ya Lingard,Show,sijui Perreira au unaisema Manchester United ipi Mkuu.

Ulitegemea chambalaini atakuwa mchezaji mzur kule liverpool? Kuna muda msiwewakurupufu mjipe muda wa kujibu post?

Nani alitegemea kama mane angewika vile unaambiwa atakuwa star wa liverpool au salah?
 
Sehemu pekee ambayo ninakiri wametuzidi ni namba 10

Tominay na Ndidi naona kama wapo sawa na kama wamezidiana ni kwa kiasi kidogo sana

Vardy na Rashford kwa current form kama ulivyosema kwa golikipa, Rashy amemzidi Vardy

Kwa golikipa tuna Degea, tuna Romero anayeweza kumuweka benchi hata Alison

Evans (Man Utd reject) kumzidi Lindelof, wakati huo tuna Bailly na Tuanzebe benchi, Chillwel kumzidi Williams, Tilesman kumzidi Fred kwa current form nachukulia kama ulikuwa unatania

Pia tulimchukua beki wao bora wa kati, naona umejisahaulisha kumtaja na kirusi Pogba

Hivi ikitokea Soyuncu, kipa wao au Vardy au Madison wameumia kwa muda mrefu wana wachezaji mbadala kwenye namba zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza ndidi hawez kukamata kwa scott tuache utani fikiria mtu anatoka kwenye academy na anawakamata hao hao maliverpool katikati wakat ndid big game humuoni labda wametuzidi kwa lingard tu
 
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.

Hizi porojo ungepiga kabla ya liverpool kuchukua eufa tungekuona wa maana sana kwa kuwa mmeotea vikombe na zile takataka zimegeuka lulu unasahau kama walikuwa wachezaj wa kawaida tu hawakuwa ma mastar zaidi ya mbinu za klopp kuwageuza top player wakat wanasajiliwa wakina gomes uliwah fikiria wangeleta mafanikio?

Sioni kama sisi tunawachezaj wabaya kama unavyojipostisha hapa wakat hao hao walimaliza juu ya liverpool msimu wa mourinho tena wa pili liverpool alikuwa wa nne na wakina salah na mane wapo

Ina maana bila pep kuweka mzigo wa maana ktk timu yake wakina de gea na jones plus rashford na martial na mata wangechukua epl
 
Unapinga hoja za watu kwa kuandika Bla bla tu Leta hoja za kueleweka Mimi nimesema Wilfried Ndindi ni bora mara miles kwa Mc Tominay,Unakuja kuniambia sijui akija Liverpool sijui nini Wewe kwa uelewa wako Position anayocheza Mc Tominay akija kwenye Squad ya Klopp anaweza kuingia F11.

Ndidi hawez kuwa juu ya scott kwa umr ule kisha prove kwenye big games zote kashinda sehemu ya kiungo sema kwa kuwa ni hater utabisha
 
Ulitegemea chambalaini atakuwa mchezaji mzur kule liverpool? Kuna muda msiwewakurupufu mjipe muda wa kujibu post?

Nani alitegemea kama mane angewika vile unaambiwa atakuwa star wa liverpool au salah?
Mchezaji kuja kuwa star wa timu ni kitu kingine,Wakati Mane anatoka Southampton uwezo wake ulikuwa umeshaonekana the same kwa Salah pia kuanzia kufunga mpaka ku assist uwe unafatilia vitu. Chambers hakuwahi kuwa mchezaji mbaya hayo ni mawazo yako binafsi.
 
Hizi porojo ungepiga kabla ya liverpool kuchukua eufa tungekuona wa maana sana kwa kuwa mmeotea vikombe na zile takataka zimegeuka lulu unasahau kama walikuwa wachezaj wa kawaida tu hawakuwa ma mastar zaidi ya mbinu za klopp kuwageuza top player wakat wanasajiliwa wakina gomes uliwah fikiria wangeleta mafanikio?

Sioni kama sisi tunawachezaj wabaya kama unavyojipostisha hapa wakat hao hao walimaliza juu ya liverpool msimu wa mourinho tena wa pili liverpool alikuwa wa nne na wakina salah na mane wapo

Ina maana bila pep kuweka mzigo wa maana ktk timu yake wakina de gea na jones plus rashford na martial na mata wangechukua epl
Mmesha kuwa jumba la makumbusho ndio kilichabakia kwenu hamna jipya tena kwenye Modern Football ya sasa Eti misimu miwili nyuma iliyopita mmebakia kujibu hoja kwa Historia tu.
 
Ndidi hawez kuwa juu ya scott kwa umr ule kisha prove kwenye big games zote kashinda sehemu ya kiungo sema kwa kuwa ni hater utabisha
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.
 
Bila historia Liverpool ana nini cha maana, hizi story za 30 years ago sio history

Liverpool ina unasaba na mashabiki madingi madingi, unadhani sababu ni nini, si timu ya historia
Mmesha kuwa jumba la makumbusho ndio kilichabakia kwenu hamna jipya tena kwenye Modern Football ya sasa Eti misimu miwili nyuma iliyopita mmebakia kujibu hoja kwa Historia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri City hawakukamia dhidi yenu (kwa kujua nyie ndio wapinzani wenu kwenye kombe)

Unadhani Chelsea hakukamia dhidi yenu, Everton hakamii dhidi yenu, Tot hakamii dhidi yenu, je walipata matokeo?

Mbona hawakupata matokeo dhidi yenu, ukiona United amekamia na akapata matokeo ujue ana uwezo,

Hichi kichaka cha kukamia mechi huwa kinachekeshaga sana, kwahiyo Mwakinyo akimkamia Antony Joshua anaweza kumkalisha
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks alot.....
Screenshot_20200115-002411.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can't imagine Matip, Henderson, Lovren, Chamberlain & Co. under OGS

Sent using Jamii Forums mobile app

Kajamaa pumba sana hako kamasahau kama walikuwa wanakesha kumponda matip henderson na lovren leo hizo story zipo?

Anakwambia mane alisha prove toka sutton kama atakuwa mchezaj mzur na salah wakat zilikuwa na kamali tu kipind wanasajiliwa hiv uliwah kufikiria mtu kama mane ataingia top 4 ya wachezaj bora duniani kisha hazard na neymar wakabak?
 
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.

Kwamba nae lingard big games ana perform huu ulev wa mafanikio ya hii miaka miwili unawapeleka pabaya sasa
 
Mmesha kuwa jumba la makumbusho ndio kilichabakia kwenu hamna jipya tena kwenye Modern Football ya sasa Eti misimu miwili nyuma iliyopita mmebakia kujibu hoja kwa Historia tu.

Manchester city peke yake anacheza modern football liverpool nao wanacheza ule mpira? manchester united yupo jumba la makumbusho lakin humkosi top 3 among richest club modern football liverpool hata top five hayupo hilo jumba la makumbusho unazungumzia la aina gani? Miaka 7 na 30 ipi mingi? Nani yupo jumba la makumbusho?
 
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.

Sina haja ya kuja na takwimu za scott dogo anajiweza ndio maana aliwapoteza old traford katakati na wakina fabinho wenu mshukur game ijayo hayupo hata ile gemu mnakufa old trafotd 2-1 kwenye kiungo alikuwepo scott, matic na herrera sasa scott alipewa jukum la kulinda mabek hamna mlichofanya leo unakazia et upewe takwimu za scott wakat wakina ndid mnacheza neo kila uchwao mnawatawanya katikati

Kwanza mchezaj mzur hawez kubaki leicester city anabak kufanya nini? Vardy ni umr tu umembakisha pale

Wakina cante na mahrez wametoka pale mchezaj mzur hanak leicester city vilabu vitano duniani haviwez kumuacha

Narudia mshukur Mungu scott hayupo game ijayo mech itakuwa rahisi sana kwenu lakin tungeongea vingine hapa

Nafikir unakumbuka mech ya mwisho ya droo mlitoa mdomo sana lakin alichowafanya had mnatokea tunduni hamkuamini mimi huwa nawaangaliaga sana na post zenu tunasoma tunapuuza tunafaham nyie mnawachezaj wa kawaida sana lakin mnakocha mzur sana anawaandaa kisaikoloji na molari ndio maana mnapata matokeo timu inayopiga mpira wa maana had muda huu ndani ya england ni manchester city nyie wenyewe kuna mech mnakamia mnacheza hovyo tu bahat matokeo huwa upande wenu
 
Punguza maneno subiri uangukiwe na kitu kizito jumapili...kwaio timu yenu nzima ni scott ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom