Micah Richards "I feel a bit sorry for Rashford because if he was in City’s team he would get 40 goals a season."

Je kuna ukweli hapa? Kuna ka hisia kananijia tunaua vipaji maana daaaa
 
Manchester United captain Ashley Young is in talks with Inter Milan, sources have confirmed to ESPN.
FB_IMG_1578478027935.jpeg
 
Alafu mechi na Norwich Shaw anaanza pumbavu, Dogo Brandon Williams licha ya Jana kuteleza ila alikuwa poa na hata alipoteleza alikuwa anajaribu kuokoa sehemu ya Jones pumbavu.

Brandon hatabiriki mpira anapigaje anaweza kusogea golini letu na mpira mkamvamia akala kona mbio mbio na accurate pass kwa Fred tofauti na Shaw au Young.

Nataka Dogo aanze na Norwich.

Greenwood tusimuonee dogo ana roho safi hata pale alipompa assist Rashford angekuwa ni Rashford angebutua ovyo.

Kingine kampasia Lingard jamaa ovyo kisigino kurudisha.

Wan Bissaka afadhali anapandisha kidogo.

Hili suala la David James kupigwa Sub naomba ufafanuzi please.

Now tunajua umuhimu wa Maguire aseee!

Kuhusu Lingard aaah! Duh! OLE OLE OLE wewe kakupa nini huyu jamaa ovyo tu.

Kama Norwich Maguire asporudi wakuu mnaonaje tukawa na 3 backs 5 mids na two forward.

Mids za kupanda na za kusaidia defense maana Jones ujinga mtupu.

All in all hii timu siku hizi inatabirika. Kuna wachezaji wasiotabirika.

Greenwood, Williams, Matic, Fred hasa pass zao tatizo wakiwapoteza wapinzani sasa kimbembe pasi wampigie nani, mpira ukitua kwa lingard unaishia kuburuzwa, ukitua kwa Rashford ustaa mwingi, kwa Perreira shuti za ovyo mara chache assit ukitua kwa Greenwood kuna afadhali.

Rashford anaboa kitu kimoja hana teamwork ni uchoyo na kutaka sifa ona free kick inapigwa ovyo.

Na kocha mwe mwe mwe hawezi hata kujiwekea vitunguu machoni aonekane amekasirika dah jamaa kakunja nne madogo wanachomesha timu.
 
Wachezaji wa kubaki Man u ni:-
Degea
Bissaka
Rashford
Greenwood
Fred
Pogba
Mac
James

Waliobaki wote wanatakiwa wakatupwe shimo la tewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Williams anahitaji kubaki Jamaa anaweza vizuri na Maguire muhimu sana we ona jana ilikuwaje.

Rashford na Pogba wanafanana attitude wakiwa na.ball golini sema mmoja anapambana kidogo.

Kiujumla nasema hawana Teamwork hadi wajisikie.
 
Alafu mechi na Norwich Shaw anaanza pumbavu, Dogo Brandon Williams licha ya Jana kuteleza ila alikuwa poa na hata alipoteleza alikuwa anajaribu kuokoa sehemu ya Jones pumbavu.

Brandon hatabiriki mpira anapigaje anaweza kusogea golini letu na mpira mkamvamia akala kona mbio mbio na accurate pass kwa Fred tofauti na Shaw au Young.

Nataka Dogo aanze na Norwich.

Greenwood tusimuonee dogo ana roho safi hata pale alipompa assist Rashford angekuwa ni Rashford angebutua ovyo.

Kingine kampasia Lingard jamaa ovyo kisigino kurudisha.

Wan Bissaka afadhali anapandisha kidogo.

Hili suala la David James kupigwa Sub naomba ufafanuzi please.

Now tunajua umuhimu wa Maguire aseee!

Kuhusu Lingard aaah! Duh! OLE OLE OLE wewe kakupa nini huyu jamaa ovyo tu.

Kama Norwich Maguire asporudi wakuu mnaonaje tukawa na 3 backs 5 mids na two forward.

Mids za kupanda na za kusaidia defense maana Jones ujinga mtupu.

All in all hii timu siku hizi inatabirika. Kuna wachezaji wasiotabirika.

Greenwood, Williams, Matic, Fred hasa pass zao tatizo wakiwapoteza wapinzani sasa kimbembe pasi wampigie nani, mpira ukitua kwa lingard unaishia kuburuzwa, ukitua kwa Rashford ustaa mwingi, kwa Perreira shuti za ovyo mara chache assit ukitua kwa Greenwood kuna afadhali.

Rashford anaboa kitu kimoja hana teamwork ni uchoyo na kutaka sifa ona free kick inapigwa ovyo.

Na kocha mwe mwe mwe hawezi hata kujiwekea vitunguu machoni aonekane amekasirika dah jamaa kakunja nne madogo wanachomesha timu.
Gomes nae???
Tuanzebe?
 
Hahahahaha

Mkuu hiyo ndio timu, twende nayo hivyo hivyo

Mimi najiambiaga ikifika stage ya kutotaka kuangalia game, hicho kipindi pia nitakuwa likizo ya ushabiki
Kidogo mchana nilipie king'amuzi changu niangalie mech kwa utulivu kilikwisha jana roho ikagoma nikahisi leo kichapo kipo walahi roho ingeuma unalipia na unapigwa ka elfu 44 kangu kangeuma sana nikasema ntasikilizia kibanda umiza bado buku langu roho ikawa inauma litakwenda majamaa humu wamenipa moyo nimeenda kuchek nimeliwa 500 miatano nimekula kipindi cha pili tulikuwa vizur kidogo.

Shukrani sana mkuu Darmian na Mc cane mlinipa ujasiri niliogopa sana kikosi kilipotoka fikiria unaambiwa jones anamaliza namba 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
168 Reactions
Reply
Back
Top Bottom