Ila hii INTERNATIONAL BREAK imevigharimu vilabu vingi sana kutokana na majeruhi, inasikitisha sana.

Sasa timu nyengine ziko na hali mbaya sana, halafu wachezaji muhimu wanapata majeraha... Ama kweli nimeamini "MWAKA WA TABU, MAJANGA HAYAISHI "

poleni sana UNITED
 
De Gea..... Hahahahahahahahah kwisha habari yenu.......Kwishnei.
Kwahyo kukosekana kwa de Gea ndo furaha kwenu!? Kuna uwezekano mkubwa tu akawepo hiyo game na hata asipokuwepo bado kuna mtu anaitwa ROMERO anamzidi ubora hadi kipa wako ALLISON wakati ROMERO akiwa na wastani wa 60% BECKER ana 53% tu. DE GEA ana 35%

Cheka sana, simulia sana, ila omba yasikukute. Mtatoka mmeinama pale OT.
 
Matip OUT, Handerson OUT... Maguire IN, Pogba IN.
skysports___B3pN189gW8B___.jpeg
 
Kwahyo kukosekana kwa de Gea ndo furaha kwenu!? Kuna uwezekano mkubwa tu akawepo hiyo game na hata asipokuwepo bado kuna mtu anaitwa ROMERO anamzidi ubora hadi kipa wako ALLISON wakati ROMERO akiwa na wastani wa 60% BECKER ana 53% tu. DE GEA ana 35%

Cheka sana, simulia sana, ila omba yasikukute. Mtatoka mmeinama pale OT.
Hizi takwimu umezitoa wapi .....Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika mbali zaidi.
 
Hizi takwimu umezitoa wapi .....Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika mbali zaidi.
Takwimu zipo kila mahali ukiigia PL website, Liverpool website, Man Utd website utazikuta kila kona utazikuta na uzuri namba hazidanganyi

ROMERO
Appearances: 46
Clean sheets: 28

BECKER
Appearances: 39
Clean sheets: 21

DE GEA
Appearances: 371
Clean sheets: 131
 
Si useme tu ana goli moja la penalty

James ana magoli matatu mazuri mno mkuu,na hapo timu yetu ni mbovu kiungo kimelegea,jiulize timu ingekuwa sawa si angekuwa messi hadi muda huu?
unashindwa kuficha upuuzi wako
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom