Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,457
- 4,351
hhaaahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhaaahaaa
Perreira naona kama anahitaji coaching nzuri then a "develop" maana ana kipaji. Maono yangu naona jamaa akijitahidi kukaba kwa ufanisi basi namba haki yake maana ana kipajiPerreira hamna kitu mule hana tofaut na Tom cleverly tu
Wapo kibao sema nani atauza jezi pale?
Kauki
Kauli yako sikuipenda kabisa. Pogba na beckam Nani alikuwa anauza san mbona alisepa, adidas wakitaka yyt anauza jezi, kick tu ndio inauza so lolote. Pogba hakuwa na profile ile. Bei aliyonunuliwa ilimpaisha, hata Angelina matuidi kwa Bei mbaya
Hahaa aibu kubwa dogo alietoka championship kuwa tegemezi na kuna watu wapo msimu wa tatu huu hawaelewekithe problems are exactly like Mourinho described.
" solksjaer's high pressing counter-attacking system is encountering trouble when a team does not provide a space to play.
on Saturday (against Southampton) United's sole source of inspiration comes from the increasingly outstanding daniel James."
he scored with a scorching effort, to add to last weekends more deft curling strike, and he was a constant source of direct running and powerful shooting.
yet as the confidence seeped from players such as juan mata, rashford, martial and perreira, united become even more dependent on daniel james.
View attachment 1204431
hatimaye nimeibuka mshindi japo kwa asilimia 50 kwenye mjadala wetu unaomuhusu daniel james, nilisema na naendelea kusema kwa timu yetu ilivyo tuliwahitaji wanadamu aina ya james wawili.
nilisema klabu inakwenda kumbebesha majukumu mazito bwana james kuna watu wakawa hawanielewi, utawasikia wanamtaja martial yupo, rashford yupo.
usenge mtupu
hii ni aibu kwa timu kubwa kama man utd inayolipa mishahara wachezaji wake mpaka kufikia paundi laki mbili kwa wiki kumbebesha mzigo wa majukumu kitoto kidogo kinachoitwa james.
Huyo mtoto atafanya vzr ,maana hana presha ,kaja kwa bei ya kawaida,mshahara wa kawaida , kinachowapoteza wachezaji wengi wanaoenda man u ni Presha hakuna kingine , Depay sasa hivi ni watofauti , Lkn presha ilimshinda , man u wakikusahiri kwa hela ndefu na mshahara mkubwa ,wanataka fasta uanze Ku deliver , plus presha ya mashabiki .Hahaa aibu kubwa dogo alietoka championship kuwa tegemezi na kuna watu wapo msimu wa tatu huu hawaeleweki
huyo ole kwenye mechi ya leicester pia hashindi mnamuamn huyu bdo anasafari tuombe uzima me naona kashachemka....Solskjaer is without a win away from home since taking a job on a full-time basis, united have 1 clean sheet in 19 games, united have won only three times in 16 games.
united have score more than once in a game only three times in that sequence and won by more than one goal-margin on only one occasion since March 6.
journalist Adam Crafton
Nimeangalia mechi ya hisani kati ya Man Utd vs Man City.
Robin Van Persie, Paul Scholes wanaweza kuingia kwenye current squad ya Man Utd na wakafanya vizuri zaidi ya waliopo.
huyo ndio Paul bhana anakupiga kiatu vizuri na mpira anaupiga mwingi anarusha mishale kama xhaka bora nimtaje xhaka maana hakuna mrusha mishale kwa sasa wanayemjua zaid ya xhaka.Xavi hernandez
Paul Scholes receives special praise: ‘In the last 15 to 20 years the best central midfielder that I have seen — the most complete — is Scholes. I have spoken with Xabi Alonso about this many times. Scholes is a spectacular player who has everything.
Nilijuaga jamaa anaongea ki mpira tu wala sikutilia mkazo lakin kwa jana
no commenthuyo ndio Paul bhana anakupiga kiatu vizuri na mpira anaupiga mwingi anarusha mishale kama xhaka bora nimtaje xhaka maana hakuna mrusha mishale kwa sasa wanayemjua zaid ya xhaka.
Scholes kawafanya viungo wengi waonekane mafala tu kila wakikutana nae ....walikuja kumweza wakina Hernandez na iniesta ....
Na kuna muda fulan viera alimuweza ,
ila kwanza hakuna MTU alitaman kucheza na Man u harafu akute scholes kwenye list ya wanaoingia pitch.
Huyu jamaa hata leo anaweza kutusaidia kwenye timu yetu.. wachezaji wa sasa wa United Sijui wanajiskiaje wakiona vitu Kama hivi vinafanywa na mstaafuno comment
ya lini hii? Hii timu kweli imekua ya walevi.no comment