Daemusin bado anaamini kwamba bado mapema sana swala.kumnyamazisha
teh teh huyu swala wa malikia anataka kunifanya niombe radhi mchana kweupeee.
kuna maeneo ukimruhusu auweke sawa mpira (cut inside) ujue adhabu kali itamkuta kipa wako.
ananikumbusha balaa la arjen robben na mguu wake wa paka alipokuwa kwenye ubora wake.
 
Those were the days.
Screenshot_20190910-130958_Twitter.jpeg
 
Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa Bodi ya Man United kabla haijawa too late

Hii kujivunia "Big Brand" iangaliwe kwa Makini.

Tulishazoea kuwa linapokuja suala la Mapato Man United inakua juu kwa kila idara.

Lakini msimu uliomalizika naona kwenye Mapato ya TV imekuwa wa 5, imepitwa na hata Spurs.

View attachment 1202424

Hii itakuwa vizur maana wawekezaj wataanza kusepa timu linavulunda nani apate hasara
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom