Man u ikiendelea kuboronga uwanjani itaathirika sana kimapato na soon haitaweza kucompete hata kwenye transfer window.

Sasa hivi muscle pekee waliyonayo ni pesa kuweza kusajili mchezaji yoyote lakini siyo kivutio cha wachezaji tena.kiuwanjani.

Siku uwezo wa kushindana sokoni kifedha utaisha basi man u itakuwa imeondoka rasmi kwenye list ya top 6 na kuwa midtable team.
Haya mapato ni kutokana hasa na msimamo wa EPL msimu ulioisha ,

Kiujumla kwenye mauzo, mikataba ya wadhamini ,bado kama sijakosea Man u ipo 3 bora .

Ila ikiendelea kuboronga , mikataba ile minono kama ya Adidas ndio itapungua na kushusha mapato.
 
Ni Mapato ya TV in all competition yasioendana na Msimamo wa EPL that's why Liverpool yupo juu ya Man City kimapato ingawa Man City kamaliza ligi akiwa juu ya Liverpool
 
Ni Mapato ya TV in all competition yasioendana na Msimamo wa EPL that's why Liverpool yupo juu ya Man City kimapato ingawa Man City kamaliza ligi akiwa juu ya Liverpool
Yah ni kutokana na Liverpool alioneshwa Mara 3 zaid ya city , hii huwa inatokea pia hata ule msimu mou alipokuwa wa pili dhid ya city ,man u alimzidi mapato,

Pia kila nafas moja inakaribu £1.9m
IMG_20190909_182054_333.jpeg
 
Duh huyu Lukaku huku Manchester United alikuwa anafanya kusudi jamani hii speed aliyekimbia kufunga ili goli mhh
 
There you talk man

Messi mara ngapi humu watu wanasema kuwa Barcelona ni Messi..that means kuwa anaibeba timu mgongoni hata kipindi wachezaji wengine wakiwa hawaperform vizuri au wako hovyo..na anafanya hivyo consistently..

Sasa watu wanataka Pogba azungukwe na World class players wote ili na yeye tumuone kuwa ni World class..Hakuna kitu kama hicho

Naamini hakuna anayebisha kuwa Pogba ni Talented lakini watu wanalaumu work rate yake,na mizaha mingi anayoifanya as if ni mtu ambaye ajamature..

Kuna wengine wanazungumzia nafasi anayochezeshwa,mind you,hakuna nafasi ambayo Pogba hajawahi kuchezeshwa ambayo watu wanashauri achezeshwe..
Kungewa na stats za kuonesha ni mchezaji gani anaongoza kwa kuanguka anguka pindi anapokabiliwa na mkabaji basi paulo angeongoza
 
Duh huyu Lukaku huku Manchester United alikuwa anafanya kusudi jamani hii speed aliyekimbia kufunga ili goli mhh

Katika wachezaj waliokuwa wana spid lukaku alikuwepo

Kilichomponza ni ujeur hana tofaut na pogba na sasa matic hao wakuondolewa ni virusi

Tunataka mchezaj awe kama alivyokuwa DARMIAN kwa sasa yupo ROJO NA SERGIO ROMERO hawa sio lopolopo msimu ujao matic hatunae
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom