Sorry, Mbugila ina maana gani
Asante sana kwa kuuliza Mkuu ..

Mbugila ni Jitu lililokimbia kitanda Wodi za hospital ya vichaa milembe pale mkoani Dodoma .. Kafika kwao kapokonya Simu ya Dada yake na kuingia jamii forum anaanza kuita wenzie wapumbavu..

Hiyo ndio tafsiri "Tukuka" "Maridhawa" au tafsiri mujarabu ya neno Mbugila.
 
Mimi nitaanza kuona mwelekeo wa timu baada ya mechi tano.

Kwa sasa naiona Man united ileile ambayo kama inashinda basi inashinda kwa udhaifu wa timu inayocheza nayo siyo kwa ubora wa Man united yenyewe.

Kiungo chetu cha ukabaji bado kinakaba kwa macho na kiungo cha ushambuliaji kinapoteza mipira na kuipoteza build up ya mashambulizi, kama man of the match ni central defender basi sisi ndiyo tulioshambuliwa zaidi kuliko wenzetu. Kama Chelsea ingekuwa na wachezaji waliokomaa walau wawili kule mbele kuanzia first half huenda matokeo yasingekuwa hivi.

Ni imani yangu tutaendelea kuimprove kadri ligi inavyoendelea.
mfano pale LIVERPOOL Van Dijk akichukua tuzo ya Europe maana yake nini? timu yake inashambuliwa sanaaaàaaaa.

tatizo letu sisi tuanaangalia negative zaidi, mfano CB akiwa anafunga kama Ramos na kutoa miasisti, kupandisha timu na kuanzisha mashambulizi au kupiga basi za uhakika hiyo inakuwa haitoshi yeye kuwa man of the match?

by the way, man of the match alikuwa Rashford si Maguire5
 
Wewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..

Uzuri wangu ni kwamba ukija kijinga jinga na Mimi nakuja kijinga jinga ..That's my principle .. Sasa nakusubiri uje kilofa unijibu kama unavyomjibu house girl wenu nikumalizie akiba ya makombora ambayo huwa nayanyunyiza kwa mataahira kama wewe ambao mmekimbia Dozi za milembe..

Mbugila wewe.
Taahira mama yako fala wewe
 
Wewe uliona performance ya timu ?
 
Wewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..

Uzuri wangu ni kwamba ukija kijinga jinga na Mimi nakuja kijinga jinga ..That's my principle .. Sasa nakusubiri uje kilofa unijibu kama unavyomjibu house girl wenu nikumalizie akiba ya makombora ambayo huwa nayanyunyiza kwa mataahira kama wewe ambao mmekimbia Dozi za milembe..

Mbugila wewe.
 
Defence ilikuwa nzuri lakini kiungo ilifuja sana kwa sababu 65% ya mchezo Chelsea walitu outperform
Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?

Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.

Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.

Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
 
Wakuu ebu tujadili hii maneno,yawezekana wataalamu wako sahihi sisi wanazi tunalazimisha usajili.
Detective D Yodoki II @McCare Bavaria hindustan Tanayzer CHIEF MKWAWA
Hawa maskaut wapo sahihi kabisa ila mashabik huwa mna mihemko sana , huyo Bruno mashabik wengi mmemuona game hazizid 5, maskaut wamemfatilia msimu mzima.
 
Tu assume maskauti wapo sahihi na bwana Woodward alikuwa anajua hatumsajili toka mwanzo, kwanini hatujasajili mwengine Sasa? Siamini Kama Bruno hajafaa Basi timu isiendelee kutafuta mchezaji mwengine.
 
Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?

Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.

Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.

Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
Umechambua vizuri. Ingawaje Chelsea tuwape credit wanatia matumaini
 
Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?

Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.

Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.

Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
Quality ya Kante na Joginho ni kubwa sana pale EPL. Ukiwaongeza Kovacic, Barkley na huyu dogo Mount inaonekana wako bora sana katikati
 
Back
Top Bottom