Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Wanasema hela ipo lakini anatafutwa mchezaji sahihitukomae na fred tu, akipiga tizi la kutosha atakua hakamatiki, huku tunampa nafasi kidogo kidogo Garner
Sio kukurupuka kununua mtu halafu Baada ya muda flani mnaanza kujilaumu
Kwa sasa tutatumia hao tulionao, lakini ikitokea fursa watanunua