Man Utd wapo tayari kulipa huo mshahara aondoke, lakini bado hataki hivyo sio sababu ya hela tu, maybe Jamaa bado anataka kuprove yeye Ni elite player?
Kumuondoa Sanchez na kuwa tayari ku subsdise mshahara wake ni ushamba mwingine wanataka kufanya United

Akiondoka Sanchez depth ya kikosi pale mbele havitakuwepo, labda kama kuna mpango wa kumuondoa moja kwa moja
 
Kwa wale wanaombeza Rashford Kuna stats muhimu Hapa.

Screenshot_20190815-151620__01.jpg

Toka Rashford aanze kucheza Man UTD, Hakuna mchezaji yoyote epl mwenye magoli mengi against top 6 teams Kushinda yeye.
 
Kwa wale wanaombeza Rashford Kuna stats muhimu Hapa.

View attachment 1182097
Toka Rashford aanze kucheza Man UTD, Hakuna mchezaji yoyote epl mwenye magoli mengi against top 6 teams Kushinda yeye.

Mkuu Rashford amemzidi mpaka Mo Salah?

Mkuu kuna stats nyengine kama hizi huwa ni useless! Coz kuna Yule dogo wa Man City Gabriel Jesus kwenye Big games huwa Mzururaji, Lakini akikutana na Vibonde huvichakaza kwelikweli.

Ndiyo ikagundulika kuwa Wafunge Sana Vibonde kuliko Top 6 ili update mafanikio.
 
Mo Salah ana misimu miwili hivyo sio fair kucompare na Rash, mwenye misimu 3 na kidogo.

Ila still Salah anapotea naye at least mechi zetu.
 
Huyo Maguire alikuwa Leicester city nc ilibeba ndoo ya EPL akiongoza safu ya Ulinzi..

Nimejisikia aibu kusoma hii comments
Ni lini Maguire aliingoza Leicester city kuchukua ubingwa?

Raha mpira ni kuongea ukweli

Mimi niliangalia mechi zote za Leicester 2015/2016 kuanzia December
Sikuwahi kuona kikosi cha Leicester kina beki anaitwa Maguire
Nakumbuka vipande viwili vya watu HUTH na MORGAN pale nyuma
 
Huyo Maguire alikuwa Leicester city nc ilibeba ndoo ya EPL akiongoza safu ya Ulinzi.. Wewe na wachezaji wako viberenge mliambulia nafasi ya ngapi ?? ...

Huyo unaesema ni mzito ndio alikuwa Man of the Match ... Sasa wewe RAIA unaeishi Maramba mawili unapata wapi ujasiri wa kusema unachokisema ... Endeleeni kupiga ramli .. Ushindi wa Pre season mlisema ni preseason , .. Chelsea kauliwa 4-0 mmeanza kuja na story za Maguire Simbilisi wewe...

Tulieni hivyo hivyo dawa iingie vizuri ...
MAGUIRE Aliiongoza Leicester city kubeba EPL ,EPL ya Nachingwea au ya Buguruni.
Acha porojo
 
Nimejisikia aibu kusoma hii comments
Ni lini Maguire aliingoza Leicester city kuchukua ubingwa?

Raha mpira ni kuongea ukweli

Mimi niliangalia mechi zote za Leicester 2015/2016 kuanzia December
Sikuwahi kuona kikosi cha Leicester kina beki anaitwa Maguire
Nakumbuka vipande viwili vya watu HUTH na MORGAN pale nyuma
Casper schmichel
Simpson
Wess Morgan
Christian Fuchs
Robert Huth
Ng'olo Kante
Dany Drinkwater
Ben Chilewell
Riadh Mahrez
Shinji Okazaki
Leornado ulloa
Jimmy Vardy
Demaray Gray
 
Huyo jamaa anatabia za kishenzi sana humu anataka anachokisema yeye wengine waitikie ndiyo kama anaamrisha demu wake
Wewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..

Uzuri wangu ni kwamba ukija kijinga jinga na Mimi nakuja kijinga jinga ..That's my principle .. Sasa nakusubiri uje kilofa unijibu kama unavyomjibu house girl wenu nikumalizie akiba ya makombora ambayo huwa nayanyunyiza kwa mataahira kama wewe ambao mmekimbia Dozi za milembe..

Mbugila wewe.
 
Sorry, Mbugila ina maana gani
 
Back
Top Bottom