Tena wewe uliechomoa betri pale msamvu , hivi inaelewa logic ya nilichoandika??

Naona umeamua kuja kishari , nikuonye tu Mimi niko tayari kupambana na wewe kwa vita ya aina yoyote .. Kwasababu unataka kuniharibia siku Yangu baada ya kuwa na Furaha isiyomithirika kutokana na ushindi mororo wa 4-0 kutoka kwa wale vijana wa daraja la Manzese ( Chelsea ) .. Nakuomba ujibu tena " Kibwege" uinr nitakavyokuangusha chini , nikuchomoe betri,l na kuiba mafuta ili uripuke kisawasawa.. Ng'ombe wewe
Mkuu tumefikia huku? Kwanini tusipambane kwa hoja? Bunduki za nini? Hutaki kukosolewa unapokosea? Utajifunza nini sasa
 
Ulijipiga ban baada ya ile 4, ukarudi katikati ya mechi ya liver baada ya kuongoza 1, utajipiga ban tena baada ya liver kukunyoa
Nipo kiongozi majukumu tu ..Tumekufa kiume jana mkuu

Enewei kifo ni kifo tu ..Hongera nyingi kwa Liverpool ..

Two defeats against two giant clubs ..inatupa experience ya kutosha bado naimani tuna timu nzuri ya kuleta ushindani EPL

#KTBFFH
 
Nipo kiongozi majukumu tu ..Tumekufa kiume jana mkuu

Enewei kifo ni kifo tu ..Hongera nyingi kwa Liverpool ..

Two defeats against two giant clubs ..inatupa experience ya kutosha bado naimani tuna timu nzuri ya kuleta ushindani EPL

#KTBFFH
Hii line ya mwisho nimeipenda kwakua unatambua sleeping giant is awaken(Manchester United)
 
Amekataa kuondoka. Take home anayobeba unadhani ataipatia wapi kwingine ..ni man u tu
Screenshot_20190815-085830.jpeg
 
Imetajwa kuwa
United hawakumsaini Bruno Fernandes sababu ya takwimu zake zisizoridhisha za utoaji pass (success rate ya pass zake ni 75%,Pogba 82% na De Bruyne ni 80% kwa msimu uliopita)
Pia scouts wameshauri kuwa anapoteza mipira sana hivyo asisajiliwe
tukomae na fred tu, akipiga tizi la kutosha atakua hakamatiki, huku tunampa nafasi kidogo kidogo Garner
 
Back
Top Bottom