Tatizo mna overambition. Scot so mbaya kiivoUnasema pogba alicheza vibaya? Ww unaangalia mechi gani?
Pogba amepangwa na mctominay ambaye hakuwa na msaada mkubwa sana kwake.. alipoteana pogba akawa amebaki kama yuko mwenyewe.. halaf unlaumu huku kiungo kilizidiwa.
Pogba ataonekana timu ikisajili kiungo mwenye uzoefu wa kucheza nae. Otherwise tutaendelea kuwa average.