Hatimae Ollachuga Oc nimemuona kajichimbia kwenye Jukwaa la Mapishi.
Mimi roho imesuuzika sana kumfunga chelseaHapana, ni kwamba nawashangaa watu wa manu kuamini kuwa sasa enzi za fergie zimerudi kwa kumfunga chelsea jana..
Leo nimepika Wali wa Nazi pamoja na Sato waliokolea Ndimu
Hata City we can km vijana watajivika mabomuMkuu naona upo upande wa MSIMAMO, jaribu kuwa flexible kwa kuangalia uhalisia
Sijui kwanini leo ghafla Chelsea imeonekana ni kipimo kinachotudanganya
Hivi ni kweli Chelsea ni wabovu kiasi hicho
Tulishinda mechi zote za Australia, watu wa kasema is just preseason, tukashinda dhidi ya Inter kisha Spurs ikaonekana is just pre season. Jana tumempiga Chelsea inaonekana ni timu dhaifu
City kashinda preason haijaonekana kama is just pre season, kampiga Westham haijaonekana kwamba ile ni timu dhaifu. Liverpool kampiga mpanda daraja imeonekana ni kwa sababu ya ubora wa Liverpool na si kwa sababu ya udhaifu wa Norwich City
Nadhani tatizo lililopo ni kwamba hatujaridhika na mwenendo wa timu yetu ikiwemo na usajili wake, na tumeonesha kuwa hatujaridhika. Sasa matokeo yakitu prove wrong, tunabaki kuwa na MSIMAMO ili MSIMAMO wetu wa mwanzo uonekane ulikuwa sahihi
Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye midfield tuna mapungufu, Pogba asipocheza hali itakuwa mbaya zaidi. Lakini ni ukweli mchungu kwa baadhi yetu kuwa United wame improve ukilinganisha na last season
Timu inaanzia kujengwa kuanzia nyuma, kwa sasa nyuma kuna uimara zaidi. Ukiondoa kwa Luke Shaw, sioni shida eneo lingine upande wa nyuma
Ukweli mwingine ni kwamba, mwaka huu ni ngumu kupambana na City na Liverpool kwenye vikombe, lakini waliobaki tunaweza kupambana nao vizuri tu
Is this for real?
Mimi,under the assumptions kwamba Liverpool wana options chache sana za kuselect team wako vulnerable sana kwa injuries, unless wa adopt a rotating squad kuwiden options zao, basi wanapigika kirahisi sana.Mkuu naona upo upande wa MSIMAMO, jaribu kuwa flexible kwa kuangalia uhalisia
Sijui kwanini leo ghafla Chelsea imeonekana ni kipimo kinachotudanganya
Hivi ni kweli Chelsea ni wabovu kiasi hicho
Tulishinda mechi zote za Australia, watu wa kasema is just preseason, tukashinda dhidi ya Inter kisha Spurs ikaonekana is just pre season. Jana tumempiga Chelsea inaonekana ni timu dhaifu
City kashinda preason haijaonekana kama is just pre season, kampiga Westham haijaonekana kwamba ile ni timu dhaifu. Liverpool kampiga mpanda daraja imeonekana ni kwa sababu ya ubora wa Liverpool na si kwa sababu ya udhaifu wa Norwich City
Nadhani tatizo lililopo ni kwamba hatujaridhika na mwenendo wa timu yetu ikiwemo na usajili wake, na tumeonesha kuwa hatujaridhika. Sasa matokeo yakitu prove wrong, tunabaki kuwa na MSIMAMO ili MSIMAMO wetu wa mwanzo uonekane ulikuwa sahihi
Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye midfield tuna mapungufu, Pogba asipocheza hali itakuwa mbaya zaidi. Lakini ni ukweli mchungu kwa baadhi yetu kuwa United wame improve ukilinganisha na last season
Timu inaanzia kujengwa kuanzia nyuma, kwa sasa nyuma kuna uimara zaidi. Ukiondoa kwa Luke Shaw, sioni shida eneo lingine upande wa nyuma
Ukweli mwingine ni kwamba, mwaka huu ni ngumu kupambana na City na Liverpool kwenye vikombe, lakini waliobaki tunaweza kupambana nao vizuri tu
Mimi sikuangalia mechi, lakini nilivyocheki YouTube highlights niliona hiyo kitu, nikabaki na maswali yasiyo na wakunijibu.Is this for real?
No sio realMimi sikuangalia mechi, lakini nilivyocheki YouTube highlights niliona hiyo kitu, nikabaki na maswali yasiyo na wakunijibu.
Itakuwa michezo ya ku-edit kwenye hiyo video niliyoona.No sio real
Hao medical staff walipeana mikono wakati gemu inaanza..
Wanapigika kirrahisi anyway Muda bado upo TUTAKUTANA TU.Mimi,under the assumptions kwamba Liverpool wana options chache sana za kuselect team wako vulnerable sana kwa injuries, unless wa adopt a rotating squad kuwiden options zao, basi wanapigika kirahisi sana.
Hapa siangalii team vs team, naiangalia Team VS league (s).
Mimi nitaanza kuona mwelekeo wa timu baada ya mechi tano.kiupande fulani bado tupo ovyo kwenye umiliki wa mpira na hili si tatizo la mchezaji mmoja mmoja bali nusu ya kundi la wachezaji wanaounda timu yetu, hata ukiangalia safu yetu ya ushambuliaji bado wana ugonjwa ule ule wa kushindwa kufanya maamuzi ya haraka pindi tunaposhambulia (si ajabu kumkuta martial au rashford anapiga chenga eneo analopaswa kutoa pasi).
jana tulicheza na timu ambayo haikuwa na uwezo wa kufika kwenye eneo letu la hatari mara kwa mara ndio maana defence yetu ilionekana kuwa vizuri lakini kuna siku tutakutana na timu zinazomiliki mpira na kufika kwenye eneo la adui kwa speed kubwa ndipo tutakapofahamu zaidi uwezo wetu kama umeimarika au kinyume chake (si mbaya tumerekebisha defences ila tumeshindwa kuimprove eneo la midfields)
karma is bitch.kilichomkuta jana tammy abraham na mason mount kuna siku kitamkuta greenwood na crew yake, ndio maana nitaendelea kusimamia msimamo wangu ule ule wa kupinga kuwabebesha majukumu makubwa sana chipukizi kwenye kundi la wachezaji vilaza.
GGMU
Usimsahau willianYes tammy. Ndio main striker.. mason mount ataanzia bench. Yes chelsea hawana namba 10 wa kumtegemea. Since hazard aondoke.. hawana wa kuziba pengo so wataendelea kuchezesha madogo.
Rushford akiumia yes greenwopd atawekwa mbele lakin nyuma yake kukiwa na experienced player.
Chelsea safu ya ushambuliaj experienced player ni pedro tu. Waliobaki ni watoto.. unadhani watakuwa effective ? Nope.
Usitegemee kushambuliwa sana kama uko fierce kwenye counter attacks.Mimi nitaanza kuona mwelekeo wa timu baada ya mechi tano.
Kwa sasa naiona Man united ileile ambayo kama inashinda basi inashinda kwa udhaifu wa timu inayocheza nayo siyo kwa ubora wa Man united yenyewe.
Kiungo chetu cha ukabaji bado kinakaba kwa macho na kiungo cha ushambuliaji kinapoteza mipira na kuipoteza build up ya mashambulizi, kama man of the match ni central defender basi sisi ndiyo tulioshambuliwa zaidi kuliko wenzetu. Kama Chelsea ingekuwa na wachezaji waliokomaa walau wawili kule mbele kuanzia first half huenda matokeo yasingekuwa hivi.
Ni imani yangu tutaendelea kuimprove kadri ligi inavyoendelea.
Uzi huu umekuwa hai toka uanzishwe.Hongereni wakuu kwa kunifunga. Naona uzi huu umekuwa na uhai toka jana.
Sio "edited" ni kweli ilitokea.Itakuwa michezo ya ku-edit kwenye hiyo video niliyoona.
Man city wao huwa hawajali wewe unashambulia au umewasubiri wao wanashambulia tu hata kama uko smart kiasi gani kwenye counter attackUsitegemee kushambuliwa sana kama uko fierce kwenye counter attacks.
That is a complete team.na forward line yao huwalazimisha mabeki kufikiria namna moja tu, kudefend. Sababu ukitaka kufanya counter attack ni lazima uwe na mabeki wenye uwezo wa kufikiria na kufanya maamuzi kwa haraka wanapokaba na wanapopokonya mpira.Man city wao huwa hawajali wewe unashambulia au umewasubiri wao wanashambulia tu hata kama uko smart kiasi gani kwenye counter attack