Sijui hata kama unaelewa unachokiongea,

Kukusaidia tu hii ni table ya FFP
ffp grid.jpg


The way inavyohesabiwa ni hela uliyonunulia mchezaji gawanya kwa mkataba wake, mfano tumemnunua pogba kwa 89m mwaka 2016 mkataba wa miaka 5, basi inavyohesabiwa ni roughly 17m kila mwaka mpaka 2020.

Miaka 5 iliopita man utd tumespend zaidi ya 600m kwenye wachezaji, tuna net spend kama 440m ukitoa wachezaji tuliouza. Kwa kusubiria hadi mwezi wa 7 tunakuwa tumecancel usajili wote uliofanywa na moyes na ule usajili uliofanyika world cup kipindi anakuja lvg, inamaana tutaanza usajili wa 2015/16.

So piga mahesabu Di maria, falcao, fellaini, Herrera, shaw, blind etc. Ukitoa hao net spend inakuwa ndogo sana.

At same time madrid ana net spend 26m tu compare na zaidi ya 400m yetu, ametuuzia Di maria miaka 5 iliopita, ameuza sana ndani ya hii miaka watu kama Ronaldo, danilo, jese, ozil etc akispend kabla ya 1 july anapata faida mbili, kutumia wachezaji wa zamani waliouza, na pia in future ikifika tarehe 1 july inahesabika mchezaji yupo msimu wa pili, hivyo miaka 5 inapita kirahisi.

Woodward hajui soka lakini Account anazijua.

Sasa wewe Bro mtu anaibuka tu from nowhere na kauli ya kukwita Muongo bila ya vielelezo vyovyote, then na wewe unapoteza muda Kumquote?

Mwambie akajifunze maswala ya Fedha kwanza
 
Itakuwa ni fedheha sana kama Pogba atakubali kucheza FUTUHI msimu ujao, yule ni mchezaj wa kiwango cha dunia. Kucheza futuh ni kumwaribia heshima yake.
Atakwepaje kucheza futuhi wakati timu yake iko futuhi!,isitoshe siyo mala yakwanza yeye kucheza futuhi.
 
Sasa wewe Bro mtu anaibuka tu from nowhere na kauli ya kukwita Muongo bila ya vielelezo vyovyote, then na wewe unapoteza muda Kumquote?

Mwambie akajifunze maswala ya Fedha kwanza
Nani kuibuka from no where we kijana!

We umesikia United wakitoa hiyo excuse? Mnakariri analysis za media?
 
Nani kuibuka from no where we kijana!

We umesikia United wakitoa hiyo excuse? Mnakariri analysis za media?
Majamaa wanataka watuaminishe kwenye hewa, hyo issue ingekuwa kikwazo nazani taarifa zingekuwa zishazagaa kitambo....!! Mpak Ed mwenyewe hajasema hlo ni tatzo kwenye usajili...lakn taarifa imetoka bongo inasema taratibu za Usajili za Uefa zimepin down Man u, kuchukua vitasa..:D
 
Tetesi ni kwamba Man u hawasajili sababu ya FFP wanasubiri msimu uishe, kuanzia july 1 tegemeeni hela kutumiwa ovyo ovyo.

Madrid wao wanasajili sana kubalance hela waliyopata ya ronaldo kabla msimu haujaisha.
Kama vile nimekuelewa. Nahisi upo sahihi sana.
 
Back
Top Bottom