M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,689
- 117,060
ni kweli matokeo ya uwanjani hayaleti athari ndio maana wachezaji wote wakubwa wanakimbia klabuni kwetu.Heheh Mkuu parefu sana hapo...ila nimekata haka kakipande alichosema Ed
“If I answer that just very simply and candidly, playing performance doesn’t really have a meaningful impact on what we can do on thecommercial side of the business" - Ed Woodward
"Kama nikijbu (au kutolea ufafanuzi) hilo kirahisi sana (au kirahis tu) na bila kuficha chochote( au kwa uwazi), kiwango cha uchezaji hakina madhara yoyote katika maswala tunayoweza kufanya kwenye biashara" -Ed Woodward
Kiingereza kuleta Lugha mama ni kazi sana!!
woodward anavuta bangi