Tatizo la MUFC sijui lipo wapi, Lukaku anafanya vizuri akiwa na Belgium na Sanchez pia akiwa na Chile.
Inakosa wafia timu na wanaocheza kwa kwa ajili ya sifa ya timu.
wachezaji wanalewa na sifa wanazopewa na kudekezwa tofauti na enzi ya Sir Fergie
 
Sasa na PAUL Pogba akisepa nani mtamtegemea? Matic? Fred? Under Herrera keshamsha, apo kati tunajua msimu ujao patakuwa mdebwedo sana madogo kama Maiktomari, Dalot wataeza himili mikiki ya akina Kante, Joghihno, Fabihno, Keita, Mahrez, Silva, Wanyama, daaah... Man united naiona tena nafasi ya saba msimu ujao.
 
IMG_5608.JPG
 
Manchester United will offer French midfielder Paul Pogba, 26, up to £500,000 a week amid interest from Real Madrid and Juventus. (Mail)
mhh kama kweli ni nusu ya ukichaa


akitoka pogba sijui lawama timu ikifanya vibaya tutampa nan?

ila m napenda pogba aondoke akashinde makombe mana akibaki utd hata baada ya miaka 5 sion kama atabeba kombe kwa ujinga uliopo ndan ya kikosi kile
 
na edwood asijidanganye kuwa anasave pesa kwa kutofanya usajili maana lazima timu itayumba na brand itashuka thaman na hapo itakuwa hasara kubwa kuanzia mauzo ya jezi,tiketi uwanjan,haki za tv etc
 
Na hatakuja
Na hatakuja???? Unaongea hivi ukiwa kama nani pale Manchester United CEO,Owners au Ukiwa kwenye Technical bench au wewe ni Scouting wa United..........Mtu unaishi Uvinza unataka kujifanya wewe ndio Ed Woodward sasa
 
Na hatakuja???? Unaongea hivi ukiwa kama nani pale Manchester United CEO,Owners au Ukiwa kwenye Technical bench au wewe ni Scouting wa United..........Mtu unaishi Uvinza unataka kujifanya wewe ndio Ed Woodward sasa
Mbona mkuu unalazimisha aje?

HATAKUJA, out of respect for Liverpool. FULL STOP
 
Haha hiyo game ya red card2 naikumbuka vizuri mlikuwa mmewashika ile mbayaaa oscar alikuwa moto hiyo siku dah hizo red card hata hazielewekagi zilitoka toka vip
Nakumbuka nilikuwa naweka mezani bia mbili mbili. Ubuu Ulikuwa ukisimama kwa shangww
 
uvumi wa jana ndio huu hapa:
Bruno Fernandes to Man Utd transfer could be off - because of Ed Woodward
According to Portuguese outlet, O Jogo Woodward is 'hesitant' about the deal and is wary of spending yet another large sum of money on a player who has not yet tested himself at the very highest level.

Tottenham leading Bruno Fernandes race ‘but a move from Liverpool can change everything’
Nikisemaga Edo ametumwa kuimaliza man utd hamuamini
 
Back
Top Bottom