Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Hili linasababishwa philosophy ya uchezaji
Wote hao ni purely talented ila kilichotokea sasa naona aulizwe Fergie
Hiyo itakuwa biashara kichaa,Wanataka kumuhusisha cancelo kama part of the deal ningekuwa mimi ningekubalia aisee nampata cancelo na pesa then nanunua ndombele
Aaasha, mbona unamind sana Chief?Ed Woodward na mabosi wengine Wa Man U ukiondoa Ole ni wasenge tu na kama Ole nae ndie anayewahitaji sana Hawa wachezaji Wa kiingereza ni msenge tu!
Atapotea Pogba, Juve hakuna kitu kwanza inaelekea kwenye collapse na kuanza rebuild km UnitedKumekucha PogbaView attachment 1126736
Nakukumbusha kuwa kosa la kutoa lugha ya matusi ukitiwa hatiani adhabu yake nikifungo Cha miezi sita gerezani,be carefully.Ed Woodward na mabosi wengine Wa Man U ukiondoa Ole ni wasenge tu na kama Ole nae ndie anayewahitaji sana Hawa wachezaji Wa kiingereza ni msenge tu!
Sidhani kama anaweza kufanya ivyo.Duuh
Kama huyu dogo ni shabiki wa Darajani hivi hatakuja kupiga unafiki fulani in favour of his beloved Chelsea ?
Hahahahah
banter:
leicester city wamekataa ofa ya paundi millioni 70 pamoja na phil jones kutoka kwa manchester united kwa ajili ya kumuuza harry maguire, leicester city wapo tayari kupokea kitita cha paundi millioni 70 bila ya phil jones.
Rabiot kaweka wazi juu ya mazungumzo hayo lakini hajasema kwamba anaenda juve lakini pia kafanya mazungumzo na man uRabiot anafanya mazungumzo na juve ndo tushambwela
Phil Jones ataenda kucheza nini pale Leicester ?banter:
- leicester city wamekataa ofa ya paundi millioni 70 pamoja na phil jones kutoka kwa manchester united kwa ajili ya kumuuza harry maguire, leicester city wapo tayari kupokea kitita cha paundi millioni 70 bila ya phil jones.
juventus ni mabingwa wa kusajili wachezaji walio huru hivyo basi sitoshangaa rabiot kutimkia mitaa ya turin.Rabiot kaweka wazi juu ya mazungumzo hayo lakini hajasema kwamba anaenda juve lakini pia kafanya mazungumzo na man u
UNITED HOPE TO TIE UP £25M LONGSTAFF DEAL
Morning all and let's kick things off today with reports in the Mirror that Manchester United are confident they can reach a £25m agreement with Newcastle for midfielder Sean Longstaff.
The 21-year-old, who is currently contracted to the Magpies until the summer of 2022, suffered a knee-ligament injury in March.