Mapacha wa Tatu wa Mr.Nice Guy.


Jose Moja ya kocha ambaye sjawahi kuwa muumini wa Soka lake(Soka la Uoga),Japo naheshimu Mafanikio yake dimbani.

Juzi alivyokuwa akihojiwa aliongea jambo la Msingi sana Ukiwa Ukiwa Mr nice guy sahau kapata mafaniko makubwa dimbani,kama ukiweza kuweka walau uwiano sawa Mr nice guy vs Ruthless(devil May care )itafaaa zaiidi.

A Ruthless SAF hakuwa na utani kidogo,siku Moja aliwahi kuulizwa na shabiki wa Man U,
Mbona sjawahi ona tabasamu lako Uwanjani..?
SAF akajibu sipo hapa kutoa tabasamu,Tabasamu utapewa na mkewe...nipo hapa kutoa burudani na kupata Ushindi.

Wakina Mr nice guy Giggs watapa wakati mgumu kupata mafanikio makubwa dimbani.

Mr nice guy Mwinyi,Bwana Mashirika a.k.a Nyerere alimwambia wewe bwana ni Mwema sana,Mtu safi lakini kama kiongozi wewe ni dhaifu.
(Uongozi na Hatima yetu by Nyerere ).

Sosha anauthubutu kuwaondoa wachezaji Mizigo,wavivu,Uwezo mdogo Uwanjani kama alivyowahi kutamba na kauli zake...?

Au ni bwana asiyeweza kusimamia maneno yake...?

Nani top six Epl aweza kutoa mkataba miaka Mitatu kwa Jones Plus £120K....? mechi tano yupo gereji... (Labda bodi ya Man u wanamijihela tele)

Sosha aweza kufanya mabadiliko makubwa na kutuvusha mbali au twajivika Upofu wa Imani..

Nyota njema itaonekana Majira ya joto,Pamoja na madhaifu ya Uendeshwaji wa club(Glazzer & Ed)kocha lazima uwajibike kwa kazi yako..Japo Jose Ni kocha asiyependa kuwajibika anahamisha lawama kama aina ya viongozi wengi wa Africa.

Karata kubwa ya sosha iliyobakia ni Ulenged wa Man United Fc (Uvumilivu wa Mashabiki).

Inasemekana Jose alitaka kuwaondoa mizigo na wavivu wote ndani ya timu msimu wa pili,ghafla akiitwa na bwana Mapesa (Bank teller)Ed Woodward,

Ed akasema wewe bwana shida yako nini..? si ni pesa..? chukua fedha hii hapa,Hao uwaitao mizigo ni asset,Mishahara tunagharamia sisi.

Mchezaji anaweza kukaaa man u miaka mitatu hachezi lakini kalidhika anakula posho,anajimwayamwaya katika Jacuzzi wala hana hata presha...mfano Darmian.

Sosha anamlima Mrefu sana,kama atatangulizi Ujasiri ,Umafia akiongozwa na falsafa yake ya soka (Hata sjui huyu bwana kama kweli anafalsafa ya soka) ndio vitamvusha,la sivyo kichwa chake kabla ya mwana wa adamu kuzaliwa huko Bethlehem kitatolewa sadaka ya Kuteketezwa.View attachment 1099767View attachment 1099769View attachment 1099771
Daaa hao wahuni wana zali sana
 
Nilichogundua we ni haters wa Mourinho, hapa ninajadili na mtu mweny chuki na mtu fulani, Et Mou ni kocha mwenye uwezo mdogo, kocha yupo kwenye top five ya makocha bora af unamwita vitu vya kipuuzi......we vip, kwanza ukitaja jina la Jose lazima utaje jina la Guardiola mana ndo the only one anayemyumbisha jamaa, uwanjan na kwenye mataj, tuchukulie Guardiola asingekuwepo Man city, EPL last season angechukua nani? Pochetno???..

Wakat Jose anafukuzwa kazi wote tulimunyoshea kdole kwamba tatizo ni yeye, ila sa hv nan anamnuoshea kidole jamaa, wengi sa hv wameturn back kuinyoshea kidole board na players, ni kweli watu wengi tuna dislike mbinu zake uwanjani, lakn tatzo la man u ni zaid ya Jose na hili yeye alilisema waz,....Ko kumbe tatzo la Man u sio mbinu za kocha tuu ni accumulation of problems...

Pote inajulikana kuwa ukimwajir Mou timu yako itakuwa ya kupak basi, sasa kwa nin usimpe support ya kutosha atimize malengo yake badala yake unaanza kumnanga ili afeli umfukuze kazi, Na ulimwajir ukijua hilo, huo si ni unafiki.....

Msimu wa kwanza Guardiola alisajili wachezaji wanane, na hakupata chochte zaid ya kuingia top 4, Rumours za kufukuzwa kazi zilikuwa nje nje lakn board ilimpa full support, msimu wa kwanza pesa iliyotumika ni Pound 186Mill,....Tafta ya Mou alitumia sh ngap...Mou akachukua Europa nafkli na FA

Msimu wa pili Guardiola alspend Pound 276Mill,....akachukua ndoo ya EPL, Tafta uone Mou alispend sh ngap....akaishia nafas ya pili, .....

Jose alijua kabisa mapungufu yaliyopo hvyo kuingia msimu wa tatu alihtaj kukiongezea nguvu kikosi ili kukabili kasi ya Man city na Liver....kilichofanyika tunakijua, akaonekana anafuja hela, ooh mbinu yake ya kupaki basi, kwanza kaishia nafs ya pili msimu uliopita na mengne mengi...

Guardiola akamwaga tena Pesa Pound mill 63, Sjui hata United ilitumia sh ngap....alaf mtu anademand matokeo mazur uwanjani how comes? unaweza kufight na best managers kama Klopp na Guardiola wenye kila aina ya silaha wanayotaka, huku ww silaha unazozitak hupati, unaletewa Pogba na Sanchez, et lengo wanakuforce ubadili mbinu ucheze mpira wa kuintertain mana wachezaji hao sio wa kupaki basi, et una rashford na Lingard huo si utani kabisaa...anyway mambo ni meng na mda ni mchache...

Kwa misimu miwili tu Guardiola alitumia zaid ya pound mill 525,....
Mou amespend pound 390 Mill in total....

Wewe ni mcheza FOREX mzuri sana, na njia hyo ya kujipatia kipato imekufikisha hapo ulipo japo wengine wanakudharau kwa kusema FOREX ni utapeli. ko usimdharau Mou kwa style yake ya kupaki basi, ndo ilipomfikisha hapo alipo, na akienda timu yyte lazima aondoke na vikombe, sa unaanzaje kumwita kocha kama huyo uwezo mdogo.... Jamaa ana mapungufu yake ndio, ila sio kumshusha hadhi kias hcho aisee....
Wewe jamaa nadhani hunijui vizuri kwenye huu Uzi wa timu yangu pendwa kutoka mitaa ya Great Manchester pale Jijini Manchester.

Ambacho kimenishangaza zaidi ni tabia zako za "Kimwajuma mwajuma" kuleta mambo ya Forex kwenye kabumbu la wanaume wa shoka. Sasa basi kwasababu umekuja "Kijuma lokole" Mimi huwa siungi mkono huo ujio wa namna hiyo.
Na kwasababu umeamua kuhamisha mjadala kutoka kuwa mjadala wa kikabumbu na kuufanya mjadala kuwa wa mashambulizi binafsi dhidi yangu, nakuomba kabla sijaandaa makombora ya Ballistic missile kuja kukusasambua ufanye yafuatayo;

1. Naomba unitake radhi kwa kunihusisha Mimi na forex katika Uzi wangu huu pendwa


2. Nakuomba ufute kauli yako kwamba mimi nimewahi kusema Forex ni utapeli


3. Nakuomba ufute kauli yako kuwa Mimi Nina chuki binafsi na Mourinho ..


Nimejijengea heshima kubwa katika forum hii , sitakubali "Mpuuzi " yoyote Mwenye akili za "Kimilembe milembe" , kwasababu tu ya kumiliki smartphone na bundle la chuo anichafue. Sitakubali.


Sasa mimi ninaweka notification on ili nisubiri utakachoandika ili nikubalase kisawasawa mpaka utakapokuwa unaona hii ID uwe unasema "Shikamoo" .




Wahedi wewe.
 
Wewe jamaa nadhani hunijui vizuri kwenye huu Uzi wa timu yangu pendwa kutoka mitaa ya Great Manchester pale Jijini Manchester.

Ambacho kimenishangaza zaidi ni tabia zako za "Kimwajuma mwajuma" kuleta mambo ya Forex kwenye kabumbu la wanaume wa shoka. Sasa basi kwasababu umekuja "Kijuma lokole" Mimi huwa siungi mkono huo ujio wa namna hiyo.
Na kwasababu umeamua kuhamisha mjadala kutoka kuwa mjadala wa kikabumbu na kuufanya mjadala kuwa wa mashambulizi binafsi dhidi yangu, nakuomba kabla sijaandaa makombora ya Ballistic missile kuja kukusasambua ufanye yafuatayo;

1. Naomba unitake radhi kwa kunihusisha Mimi na forex katika Uzi wangu huu pendwa


2. Nakuomba ufute kauli yako kwamba mimi nimewahi kusema Forex ni utapeli


3. Nakuomba ufute kauli yako kuwa Mimi Nina chuki binafsi na Mourinho ..


Nimejijengea heshima kubwa katika forum hii , sitakubali "Mpuuzi " yoyote Mwenye akili za "Kimilembe milembe" , kwasababu tu ya kumiliki smartphone na bundle la chuo anichafue. Sitakubali.


Sasa mimi ninaweka notification on ili nisubiri utakachoandika ili nikubalase kisawasawa mpaka utakapokuwa unaona hii ID uwe unasema "Shikamoo" .




Wahedi wewe.
Ha ha haaa...mkuu nitafasirie neno "wahedi wewe" limeniacha junction isjekuwa tusi ndug....
 
Ed Woodward: "Preparations for the new season are underway and the underlying strength of our business will allow us to support the manager and his team as we look to the future."
Yan haya maneno inaonyesha ni jins gani anawaza biashara zaid kuliko performance ya team. Business? What the hell? Haya maneno anaongea kila mwaka ila nothing new
 
Tumefanya uzembe ..mimi nitabaki kuangalia uefa labda wenzangu mtaifata timu europa huko
FB_IMG_1558084475714.jpeg
 
Kama ni mambo ya kuanza upya bila kutegemea wachezaji wakubwa,tungembakisha van gaal,huyu ole sioni mahali akitupeleka kwa kikosi kisichokuwa na uzoefu.

Ole anaweza akizingatia vizur eneo la kiungo beki na center foward rashford na martial bado sana viungo wawili wa maana tia na bek nne na tano wa maana shaw na dalot sina wasiwasi nao ole anasimama bila hivyo ni kichapo tu
 
Ole kwangu mm sio kocha bora na nadhani timu yetu itamshinda kama haiijamshinda bado.

Ole hana plan uwanjani hajui timu inacheza vipi watu wanacheza tu uwanjani ovyoovyo kama vile hawajawai kucheza pamoja. Hana tactic yoyote uwanjani jamaa anaonekana kabisa hana experience yoyote. Klop anatumia high press..na fast buildup kwenye kushambulia..pep anatumia constant pressure kwenye kukaba na high possiesion kwenye attack..nk nk nk. Ukija kwa kocha wetu ole haijulikani anacheza mfumo upi yupoyupo tu anategemea miujiza na vibe la wachezaji kushinda.

Pili jamaa yuko poor sana kuselect wachezaji wa kuanza mechi na nadhani ana ubaguzi flani kweye kuselect first eleven kuna kipind unaona kabisa lingard anazingua lakini kila siku utamuona ndani anacheza kila saa anamweka nje mtu kama lukaku amabae anainekana kabisa anapambana anapanga watu wasiojituma kina rashford(yaan huyu dogo kocha hawez kumkanya kabisa..dogo anajiona ronaldo sijui ni mchoyo balaa anataka kupiga kila saa anakaa na mpira mpaka anapoteza analalamika mno uwanajani kuna mda mpaka anazira mpira aisipopewa faulu. Kocha mzuri angeshamnyoosha dogo toka kitambo) kila siku tunaona tabia ni ileile haibadiliki ata

Tatu jamaa anazingua kwenye kuongeza mikataba ya wachezaji. Yaaani ni uingereza tu umemjaa waingereza wabovu wanapewa mikataba mizuri na kuongezewa mpunga na bado wapambanaji wakina herera wanaachwa kusepa kisa kuongezewa pesa tu kidogo.
Yaan anaonesha ubaguz wa wazi kabisa unamuongezea mshahara martial asiejituma herera akiomba kumuongezea pesa unagoma??? Daah

Nne jamaa kwenye sub ni mbovu sana yaan unaona timu inazingua toka mda tu yeye katulia tu anasubir sijui mpak dakika ya 70 au mpaka mpigwe goli ndo anajifanya kushtuka na kufanya sub zake mbovu fasta. Unakuta lukaku ndo kacheza vizuri anamtoa anamwacha rashford aliekuwa anacheza fyongo. Rashford kacheza fyongo sana na jamaa alikuwa hamtoi hata iweje naona juzi ndo kaanza kumpiga sub dogo

Mwisho jamaa anaonekana kabisa sio mkali kwa wachwzaji na kuna wwachezaji anawaogopa mfano pogba..jamaa anawez zingua mechi anapoteza pasi hakab nk ila atampiga sub fred anaecheza vizuri. Huu upendeleo wa wazi ndio unaopunguza morali ya timu.Tatizo la kuchukua nakocha wadogo ndio hili kocha hawez kumwambia chochote star wa timu unadhani ole anaweza kumkaripia pogba au martial wakabe?? Ndio maana timu letu linacheza kivivu tu

Hao kina mourinho pep na fergie ni wakali ndio maaana wanamafanikio na timu zao huyu kocha wetu mselamsela sidhan kama ataweza irudisha timu kuwa bingwa tena.
Waingereza watamfukuzisha kazi Ole.

Hakukuwa na haraka ya kuongeza mikataba haraka vile.

Mambo yote yalitakiwa yafanyike mwisho wa msimu.

Tufukuze beki yote tumuache Lindelof na Shaw.
 
Posibility ya kurudi ni kubwa Sancho anagoma kuja United sabubu haiko Champions league
OGS alimfundisha Zaha Cardiff City alivyocheza kwa mkopo na alikuwa anamsifia sana
Tunamhitaji Umtiti, Dyabala, Ayoze Perez na Eriksen.
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom