Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,378
- 30,319
Man united imepoteza mwelekeo kwa sababu ya ujuaji wa kina Woodward na kama wataendelea kufanya wanavyofanya timu itapotea zaidi.Na kwa manunuzi ya namna hiyo mnategemea timu ianze kuwa ya kiushindani na ichukue makombe kuanzia lini?
Na huo uvumilivu wa kusibiri mnao? Maana isije timu ikaingia kwenye rebuild mode halafu ndani ya msimu mmoja mkamwondosha kocha.