Hii defence ya Man U ni uchochoro mkubwa sana. Inahitaji marekebsho haraka sana. La sivyo, a mess-up is coming each sizoni
Smalling:24 app/ 1 goal/ 36 conceded/ [17/30] tackel won/ 1 own goal.
Twende kwa jones: 18 app/ 1 assist/ 17 golz conceded/ [13/19] tackles won
Young huyu nae aondoke: 30 app/ 2 golz/ 2 assists/ 43 golz conceded/ [32/52] tackles won.
Kwa hali hii, timu yyt ikicheza na united ilikua na uhakika wa kupata goli hata iweje. Timu haiwez kutaka kua competitive kweli ligi na mashindano mengine halaf nyuma ina uchochoro wa maana namna hii.
 
IMG_5259.JPG
 
Hata safu ya ushambuliaji ni butu.Katika "top 6" Man Utd ni timu yenye mabao machache ya kufunga.Idara hii nayo inahitaji "a massive revamp" kama tunataka kushindania kombe msimu ujao.
 
Kocha kasema anafanya rebuild kwa kununua wachezaji wa bei rahisi, hiyo revamp sahauni.

Msimu ujao mtatamani huu ulioisha.
Si kweli, hajasema kwa kununua Wachezaji wa bei rahisi

Kama kusema Wachezaji wenye vipaji na njaa ya mafanikio ni wa bei rahisi, utakuwa sahihi

Kinyume cha wenye vipaji na njaa ya mafanikio haiwezi kuwa bei rahisi
 
Mnamuonea sana Pogba,
Pogba kaja kipindi cha Mou, kaikuta man u imejifia ,inacheza europa,
Unasemaje tatzo la man u linaanza

Tatizo linaanzia hapo kwa viungo kwani wakina scholes hawakuwa waingereza? Siku wakiwa na mechi mbaya basi ni kukaba na kublok mipira kitu ambacho pogba hawez yeye lazima azungukwe tu kila siku tunajenga timu kumu unlock pogba hahaha
 
Tetesi za Usajili zilizopo ninazozifurahia

1. Nicolas Pepe - Lile

2. Bruno Fernandes - Sporting

3. Koullibally - Napoli

4. Bissaka - Cristal Palace

Ninashangaa kwanini sijasikia Tetesi za Wachezaji wafuatao

1. Madison - Leicester

2. Neves - Wolves

3. Ndidi - Leicester
Madison angekuja kuwaweka benchi la milele lingard na Mata,
Huyo Neves angekuja kuziba void ya Pogba na the walking Matic
 
OGS anataka kumuacha Martial

Joel Glazer amemwambia huwezi kumuacha, huyo ndio Pele wetu

Hivyo ndio namna timu yetu inavyoendeshwa
His hands are tied possibly atakuwa na kazi ngumu sana kuijenga united kama watu hawajawahi hata kucheza mpira wanampangia nani amsajili na nani amwache haina maana ya yeye kuendelea kuifundisha united.

Mambo ya ajabu ajabu namna hii ndiyo yanawapa viburi hawa kina Martial wajione wao ni wakubwa kuliko club
 
Ndio hivyo mkuu

Jose juzi kasema pale United kuna matatizo 3 makubwa ambayo ni Wachezaji, Ambition ya club na Organization ya klabu

Sasa unaona hapo manager hana last say kwa mchezaji, inabidi main man pale United aitwe kocha na si manager maana Hana hiyo power ya kufanya maamuzi kuhusu wachezaji
 
Mkuu hii kamba sasa ukiacha alison na vvd nani kule wa bei kali? Wachezaj wanatakiwa wawe na roho ya upambanaji hata kama wa bei rahisi

Aliyesema hivyo ni OGS, kwamba atanunua wachezaji wa bei rahisi ili atengeneze kikosi cha namna hiyo.

Kwa case hiyo, means at minimum msimu ujao utakuwa mgumu zaidi, hivyo kama ni kuanza kuona matunda ni ule msimu mwingine. Ndiyo maana nikasema msimu ujao ni wa tabu kwenu.

Swali: Je, mna huo uvumulivu? Imagine sisi huu msimu wa nne umekata hatujapata kitu lakini tumo tu tumekubaliana kwamba Klopp anajenga timu. Mungu asaidie tupate hiyo UEFA.
 
Manchester united wamenunua wachezaj wa gharama sana lakin hamna walichofanya ni bora kujikita kwenye hiyo program wachezaj wenye bei za kawaida huwa wapambanaji sana kwa mfano psg pesa waliyotumia na mafanikio yao vinafanana?

Nakumbuka aliongea vile kwa kuangalia bei za rooney na ronaldo lakin hazikuwa rahisi pia zilikuwa ni rekodi ktk english premier league bora utoe pesa ndefu kuwekeza kwenye talented player kuliko kutoa paund million 89 kwa pogba halafu bado unapwaya angalia labda gharama ya Robertson ni sawa na shaw?

Hapo si kwamba anachukua players wa paund milion 5 lazima kuna maeneo pesa itatoka ndefu sana hasa upande wa beki na viungo kwa misimu hii miwili hata everton alitupita kwenye ku spend money even west ham
 
Uvumilivu wa hvyo haupo chief, timu inaendeshwa kwa gharama sana ile, changes yyte uwanjani itaathir sana mapato ambayo ndo yanaifanya united iwe kama ilivyo....hapa ni kuchagua, ukisema usajili makinda tu tena wasio na majina means mmiliki inabid akubali hasara atakayoipata,
alaf unakuwa huna uhakika kama manager uliye naye ataweza kurudisha timu kwenye peak, mana kuna kufanya hvyo af ukadumbukia mazima....

Mimiliki yeye anachoangalia ni pesa, kwa vyvyte vile lazima atakimbizana na mfumo wa chelsea, madrid au barcelona...
 
Manchester united wamenunua wachezaj wa gharama sana lakin hamna walichofanya ni bora kujikita kwenye hiyo program wachezaj wenye bei za kawaida huwa wapambanaji sana kwa mfano psg pesa waliyotumia na mafanikio yao vinafanana?

Nakumbuka aliongea vile kwa kuangalia bei za rooney na ronaldo lakin hazikuwa rahisi pia zilikuwa ni rekodi ktk english premier league bora utoe pesa ndefu kuwekeza kwenye talented player kuliko kutoa paund million 89 kwa pogba halafu bado unapwaya angalia labda gharama ya Robertson ni sawa na shaw?

Hapo si kwamba anachukua players wa paund milion 5 lazima kuna maeneo pesa itatoka ndefu sana hasa upande wa beki na viungo kwa misimu hii miwili hata everton alitupita kwenye ku spend money even west ham

Na kwa manunuzi ya namna hiyo mnategemea timu ianze kuwa ya kiushindani na ichukue makombe kuanzia lini?

Na huo uvumilivu wa kusibiri mnao? Maana isije timu ikaingia kwenye rebuild mode halafu ndani ya msimu mmoja mkamwondosha kocha.
 
Back
Top Bottom